Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JIGWAMA ujana ule mwenyewe uzee uulete kwenye ndoa ya watu
bnadamu kazi kwelikweli lakini katika hizo plan zote naona hawakuona mbali..... aisee yani ndo wameharibu tu at least wangempa huyo mr.mbasha hela afunge mdomo
Mtawatambua kwa matendo yao na miujiza yao ya kitapeli.
Mkuu Mods wameondoa ule uzi.....Nadhani walihofia usalama wa The bold
Watu hawajui kuwa hii topic chanzo ni hapa Jf kwa sababu jana Thread ilifichwa kule Celebrity forum halafu usiku waliifunga Mods nadhani kwa usalama wa mkuu The bold.Jana alikuwa anatishiwa na mpaka sahizi hatujui nini kinaendelea.
khaaaaaaaa hiii ni hatari wachungaji ni nomaa wanachunga huku wanajichinjia kondoo aliyenona
Hii story nilipata kuambiwa na jamaa yangu nikadhani labda anataka kumkinga mume wa Florah kiana lakini baada ya kusoma bandiko lako mara mbili mbili nikiunganisha na yule Nabii aliyezaa na mke wa mtu halafu akamfanyia zengwe afukuzwe nchini naanza kupatwa na mashaka na hawa maaskofu,manabii na mitume wanaojitukuza wenyewe badala ya Mungu.
Kauli nzito sana na ya kusisimua.
Flora Mbasha anashauriwa sana alitazame sana suala hili kabla Mwenyezi Mungu hajaanza kupekua kurasa za issue nzima.
Kwa uzoefu wangu mdogo, Mungu anapoliliwa a mtu anyeonewa , hujibu , tena bila kificho au utatanishi.
binafsi ss naanza kuaminim kwamba sote tu watenda dhambi na tumepungukiwa na utukufu wa Mungu
Hapa pana mambo makubwa yamejificha. Hata kama Mbasha kafanya, akimpata wakili mzuri anashinda kirahisi mno.
High vaginal discharge (HDV) si lazima iwe ni spermatozoa. Yaweza kuwa anamagonjwa mengine ya sehemu hizo. Kifupi ni dokeze hilo tu.
Ila huu ni mchezo wa mtu kijumilikisha mke wa mtu bila bugudha. Jamaa huenda alisema atamlipua huyo mzee wa hammer, naye kaamua kufanya kweli kabla ya kulipuliwa.
Kuna nini mpaka hii saga ihame toka kwa mr mbasha ihamie kwa mzee wa hammer, hapa kuna maswali mengi sana ya kujiuliza, na huyu alieanzisha hipropaganda ni nani na kwa maslahi ya nani!
Tupate vithibitisho kuwa huyo mzee wa hammer alikuwa anagegeda hiyo kitu hata msg tu ambazo mbasha anaweza kuwa ameshawahi kuona, vinginevyo huu ni upepo tu, kuruhusu skendo ya king'asti Kamata isahaulike.
[h=2]Chini ya kapeti juu ya kubaka kwa MBASHA[/h]Story inaendelea kma ifuatavyoMoses Kulola ni mchungaji wa kwanza wa kilokole Tanzania
Iko hivi wakuu..
1. Kisa cha mbasha kubaka" (Sitatoa kila detail ili kulinda identity
yangu)
Kabla sijaanza kueleza kisa hiki ni vizuri niwaeleze kidogo kuhusu
Intellijensia ya Gwajima jinsi ilivyo...
pale kanisani kwake wanavitengo mbali mbali amabvyo wenyewe
wanaviita ministries' na katika ministry hizo zipo mbili ambazo ni
muhimu zaidi i) Media ministry ii)
Security ministry (hii huwa wanaiita mashujaa' wa Daudi)...
Media - Ministry kazi yake ni kulitangaza kanisa mitaani na
kwenye vyombo vya habari, kueneza
propaganda' ya kanisa na mambo mengine yanayofanana na hayo.
Security Ministry - kazi yao ni kumlinda Gwajima.! Kama umewahi kufika pale kanisani utakuwa
umewahi kuwaona huwa wanavaa suti nyeusi na miwani nyeusi (kama secret service wa marekani).. wale jamaa usiwachukulie poa, majamaa wale ni wanajeshi na polisi wastaafu na wengine bado wapo kazini..
Sasa huduma hizi mbili zinaunda kitu kama USALAMA WA TAIFA"
wa kanisa la Gwajima..
Turudi kwenye topic sasa....
Ni ukweli ambao ulikuja kubainika hivi karibuni kuwa Mr. Mbasha ana
mahusiano ya kimapenzi na shemeji
yake (kwa muda mrefu kidogo) na habari hii ikamfikia mpaka florah..
kipindi hiki florah bado anakaa hoteli! Suala hili florah aliwaeleza watu wachache sana wa karibu na likabakia kuwa siri.. lakini sisi wengine tikuwa tunalifahamu muda mrefu tu!
Kuna watu wakamshauri florah amuhoji mmewake na florah akauchukua huo ushauri akaenda
kumuhoji Mr.
Unaambiwa jamaa
aling'aka balaa na akakataa kata kata kuwa hana mahusiano na
shemejiye! Basi katika majibizano mara jamaa akaropoka kuwa mbona
hata yeye anafahamu kuwa florah ana mahusiano na Gwa**** lakini hasemi chochote!
Weeeeee ilikuwa balaa maana hicho kilikuwa kijikikao fulani hivi na ndugu kadhaa walikuwepo basi kila mtu akashikwa na bumbuwazi!!!
Unaambiwa flaorah
hakusema chochote akaanza kulia akainuka akaondoka!! Na baada ya hapo hata simu za mbasha akawa hapokei...
Inasemekana taarifa zikamfikia mchungaji wao Gwajima, basi Gwajima akamuita ofisini jamaa akakataa kwenda! Sasa katika hizo purukushani za kuwasuluhisha jamaa kuna siku akatishia kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano ya huyo mchungaji na mkewe florah!! Nahisi hapo ndipo alipojiroga..
KESI YA KUBAKA
baada ya mrafaruku kutokea jamaa akawa dizaini kama amesitisha mahusiano na shemejiye na hapa kati alikuwa hakai nyumbni kwa florah.. lakini inavyoonekana mchungaji alitishwa sana na mkwara wa jamaa kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano yake na mkewe... binafsi nahisi mipango ikaanza kusukwa na binti akasetiwa kwa ajili ya operation tokomeza'!!
Juzi juzi hapa kabla ya tukio kutokea ndio huyu binti amerudi kwa florah akijua wazi kabisa dada take hayupo! Na kama ujuavyo muonja asali aonji Mara moja, jamaa kuona mzigo umerudi basi ikabidi wakumbushie enzi!
Sitaki kumaliza huondo wote lakini tujiulize maswali haya!!!
1. Hivi kubaka ndio inakuwa hivi?
Ni ijumaa mko nyumbani peke mnamaliza kula mchana mnakaa sebuleni mnapiga stori mizuka inapanda mnaamua kuibanjua amri ya sita! Kesho yake jumamosi anakuja mgeni mnakuwa wapole tu, mnavunga mnaitana shemeji! Alafu kesho kesho yake jpili mnatengeneza mazingira ili muondoke peke yenu wawili!
Mnafika mahali fulani ubungo mnapaki gari mafichoni mnaanza kuibanjua amri ya sita! Mnatoka hapo mnaenda kanisani mnatabasamu kabisa ibada ikiisha mnatengeneza tena mazingira ili muondoke peke yenu! Mnafika kisehemu chenu mnapaki tena gari mnabanjuka! Halafu eti
amebakwa???????
Swali la pili la kilujiuliza!
Kwanini huyu binti baada ya tukio kutokea akawapigia simu bodyguards wa Gwajima ambao walienda kumchukua na kurudi nae nyumbani kwa gwajima??? Alafu eti hawa bodyguards ndio wanaanza kuwapa taarifa ndugu za florah!!
Kwanini apige simu kule??
Kwanini hakuwapigia simu ndugu zake kwanza?????,anapotezwa huyu!
Nimesend kama nilivyo receive
CC. Jephta2003
Wakamuulize ya nabii mwingira na mke wa mzee wa kanisa mimi KKKT daima mbele kurudi nyuma mwiko na siku hizi zinajaa sana wanarudi taratibu naona weshashtuka wanaibiwa nasikia jamaa wana wash brain waumini wao ukitaka ugombane nao mwambie muumini mmoja wa Gwajima mnaibiwa ataongea mpaka mishipa ya shingo itamsimama kweli wajinga ndio waliwao.
Kwa maneno aliyosema Frola inaonekana kabisa hii issue kama imepikwa
" Mimi nishamsamehe lakini hii kesi iko chini ya familia sio mimi alafu kesi imeshafika polisi na kijinai anajificha nini si aende polisi"
Huyu ndo mke mwema atokaye kwa bwana.
Makanisa ya Kilokole, Si sehemu salama kwa wake zetu tena!!!
Duh!.yamemkuta tena Gwajima. Aliwahi pigwa vibao na jamaa mmoja kwenye saloon moja hivi .kisa Gwajima alimla mwanamke wa huyo jamaa , Kuweni makini na Gwajima ni mchafu sana.