Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Yule binti alitumwa...hivyo ili apate ushahidi ilimlazimu amrubuni jamaa amwingilie mfululizo ili shaahawa zimjae ndiyo apate ushahidi mzuri kwa daktari " Shahawaa utokaji wake usio wa kawaida" Duh....hatareee

Uki do, hata kama shahawa zimeingia bakuli zima, zitatoka tu within no time, sitaki kuamini kwamba eti huyo shemeji alijibakisha mara ya pili ili kutunza shahawa! Jamaa itakuwa lilikuwa na maugwadu likafakamia madudez yakatoka bila mpangilio!
 
story yako iko convincing...ila naona umegongelea msumari...

miaka 17 ni ubakaji whether kalikuwa kamchezo kao ka siku nyingi or not...

whether mchungaji sijuhi mtume anatembea anatembea na Frola or not...

Whether ni set up onr not....

Story inaendelea kma ifuatavyoMoses Kulola ni mchungaji wa kwanza wa kilokole Tanzania
Iko hivi wakuu..
1. Kisa cha mbasha “kubaka" (Sitatoa kila detail ili kulinda identity
yangu)

Kabla sijaanza kueleza kisa hiki ni vizuri niwaeleze kidogo kuhusu
Intellijensia ya Gwajima jinsi ilivyo...

pale kanisani kwake wanavitengo mbali mbali amabvyo wenyewe
wanaviita ‘ministries' na katika ministry hizo zipo mbili ambazo ni
muhimu zaidi i) Media ministry ii)

Security ministry (hii huwa wanaiita ‘mashujaa' wa Daudi)...

Media - Ministry kazi yake ni kulitangaza kanisa mitaani na
kwenye vyombo vya habari, kueneza
‘propaganda' ya kanisa na mambo mengine yanayofanana na hayo.

Security Ministry - kazi yao ni kumlinda Gwajima.! Kama umewahi kufika pale kanisani utakuwa
umewahi kuwaona huwa wanavaa suti nyeusi na miwani nyeusi (kama secret service wa marekani).. wale jamaa usiwachukulie poa, majamaa wale ni wanajeshi na polisi wastaafu na wengine bado wapo kazini..

Sasa huduma hizi mbili zinaunda kitu kama “USALAMA WA TAIFA"
wa kanisa la Gwajima..

Turudi kwenye topic sasa....

Ni ukweli ambao ulikuja kubainika hivi karibuni kuwa Mr. Mbasha ana
mahusiano ya kimapenzi na shemeji
yake (kwa muda mrefu kidogo) na habari hii ikamfikia mpaka florah..
kipindi hiki florah bado anakaa hoteli! Suala hili florah aliwaeleza watu wachache sana wa karibu na likabakia kuwa siri.. lakini sisi wengine tikuwa tunalifahamu muda mrefu tu!

Kuna watu wakamshauri florah amuhoji mmewake na florah akauchukua huo ushauri akaenda
kumuhoji Mr.

Unaambiwa jamaa
aling'aka balaa na akakataa kata kata kuwa hana mahusiano na
shemejiye! Basi katika majibizano mara jamaa akaropoka kuwa mbona
hata yeye anafahamu kuwa florah ana mahusiano na Gwa**** lakini hasemi chochote!

Weeeeee ilikuwa balaa maana hicho kilikuwa kijikikao fulani hivi na ndugu kadhaa walikuwepo basi kila mtu akashikwa na bumbuwazi!!!

Unaambiwa flaorah
hakusema chochote akaanza kulia akainuka akaondoka!! Na baada ya hapo hata simu za mbasha akawa hapokei...

Inasemekana taarifa zikamfikia mchungaji wao Gwajima, basi Gwajima akamuita ofisini jamaa akakataa kwenda! Sasa katika hizo purukushani za kuwasuluhisha jamaa kuna siku akatishia kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano ya huyo mchungaji na mkewe florah!! Nahisi hapo ndipo alipojiroga..

KESI YA KUBAKA
baada ya mrafaruku kutokea jamaa akawa dizaini kama amesitisha mahusiano na shemejiye na hapa kati alikuwa hakai nyumbni kwa florah.. lakini inavyoonekana mchungaji alitishwa sana na mkwara wa jamaa kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano yake na mkewe... binafsi nahisi mipango ikaanza kusukwa na binti akasetiwa kwa ajili ya ‘operation tokomeza'!!

Juzi juzi hapa kabla ya tukio kutokea ndio huyu binti amerudi kwa florah akijua wazi kabisa dada take hayupo! Na kama ujuavyo muonja asali aonji Mara moja, jamaa kuona mzigo umerudi basi ikabidi wakumbushie enzi!

Sitaki kumaliza huondo wote lakini tujiulize maswali haya!!!

1. Hivi kubaka ndio inakuwa hivi?

Ni ijumaa mko nyumbani peke mnamaliza kula mchana mnakaa sebuleni mnapiga stori ‘mizuka inapanda mnaamua kuibanjua amri ya sita! Kesho yake jumamosi anakuja mgeni mnakuwa wapole tu, mnavunga mnaitana shemeji! Alafu kesho kesho yake jpili mnatengeneza mazingira ili muondoke peke yenu wawili!

Mnafika mahali fulani ubungo mnapaki gari mafichoni mnaanza kuibanjua amri ya sita! Mnatoka hapo mnaenda kanisani mnatabasamu kabisa ibada ikiisha mnatengeneza tena mazingira ili muondoke peke yenu! Mnafika kisehemu chenu mnapaki tena gari mnabanjuka! Halafu eti
amebakwa???????

Swali la pili la kilujiuliza!
Kwanini huyu binti baada ya tukio kutokea akawapigia simu bodyguards wa Gwajima ambao walienda kumchukua na kurudi nae nyumbani kwa gwajima??? Alafu eti hawa bodyguards ndio wanaanza kuwapa taarifa ndugu za florah!!

Kwanini apige simu kule??

Kwanini hakuwapigia simu ndugu zake kwanza?????,anapotezwa huyu!

Nimesend kama nilivyo receive

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Jamaa hajambaka huyo Demu pengine walikuwa wapenzi kitambo,lakini huyo Binti baada ya kupewa Pesa na Gwajima na Frola akatengeneza Mchongo wa hatari pasipo kujua hatari yake, yawezekana Binti alipitia kwa Boy friend wake akafanya mapenzi bila kinga au alifanya na mbasha ikiwa ni Kama kawaida Yao au kuna Mtu alisetiwa maalum ili kutengeneza Ushahidi wa mbegu za kiume ! Hii kesi ukiichunguza kiundani kabsa inaonekana ni Kesi ya kutengeneza, ni kesi yenye nia ya kumpeleka Jela mbaya ili Gwajima atanue na kujiachia na mkewe Frola. Ugumu wa kesi utakuja pale Rushwa inapomeza Haki , kumbuka Mbasha ni Masikini na Gwajima ni Tajiri je? Kuna Haki hapo ? Tafakari !

Kama Gwajima angekuwa na nguvu na hiyo jeuri yote asinge mtumia mtu agegedwe, angetumia influence yake kumuweka ndani, pia hizo nguvu zinazosemwa kama kweli anazo basi huyo Mbasha angekuwa alishawekwa kizuizini mpaka sasa! Unafikiri hiyo TISS yake inayosemwa kama kweli ipo itashindwa kumpata?

Hapa ni kwamba hii issue inaonekana ina chanzo cha rohoni ili kumdhoofisha Gwajima! Tuwaulize Global Publishers kuna matoleo yao kibao wametoa kipindi cha nyuma wakimchafua huyu baba na huduma yake, lakini inaonesha Mungu anazidi kumtetea na kumtia Nguvu ya kusonga mbele, maana jamaa hatetereki, ndio kwanza kanisa linazidi kukua!

Hii inanifanya nizidi kumkubali sana huyu Bwana, ikivumaga skendo mi lazima jumapili yake nifike hapo kanisani,lakini jamaa huwa halumbani wala hatoi ufafanuzi zaidi ya kumtwanga shetani vilivyo!

Jumapili ijayo nawahi mapema na mwamvuli wangu! Chezea mzee wa Hummer wewe
 
Hilo jina lako linataka kufanana na Gwajima Activist...au huko kwenye kazi ya media (media ministry)...te te te...

Kama Gwajima angekuwa na nguvu na hiyo jeuri yote asinge mtumia mtu agegedwe, angetumia influence yake kumuweka ndani, pia hizo nguvu zinazosemwa kama kweli anazo basi huyo Mbasha angekuwa alishawekwa kizuizini mpaka sasa! Unafikiri hiyo TISS yake inayosemwa kama kweli ipo itashindwa kumpata?

Hapa ni kwamba hii issue inaonekana ina chanzo cha rohoni ili kumdhoofisha Gwajima! Tuwaulize Global Publishers kuna matoleo yao kibao wametoa kipindi cha nyuma wakimchafua huyu baba na huduma yake, lakini inaonesha Mungu anazidi kumtetea na kumtia Nguvu ya kusonga mbele, maana jamaa hatetereki, ndio kwanza kanisa linazidi kukua!

Hii inanifanya nizidi kumkubali sana huyu Bwana, ikivumaga skendo mi lazima jumapili yake nifike hapo kanisani,lakini jamaa huwa halumbani wala hatoi ufafanuzi zaidi ya kumtwanga shetani vilivyo!

Jumapili ijayo nawahi mapema na mwamvuli wangu! Chezea mzee wa Hummer wewe
 
Huyo Binti hakubakwa Bali kapewa Mkwanja ili atumike tu Kama daraja la kumpeleka Gerezani Mbasha kisha Gwajuma apate nafasi ya kula Tunda na Frola pasipo na Bugudha, kumbuka Mbasha alikuwa kikwazo kwa Gwajima baada ya kumpeleka Frola London Kisha alipoludi wakazunguka nae mikoani pasipo na ridhaa ya mbasha, unaelekea Gwajima amekolea sana kwa Frola kiasi kwamba ameshindwa kujizuia matokeo yake kaja na Vioja Kama hv !

Ngoja tutafute ile video ya Frola na Mbasha wakiwa London! Kwanini watu wajikite kusema alipelekwa Frola London huku walikuwa na mumewe na hakuna ajuaye ukweli kuwa walipelekwa na Gwajima au walialikwa kwenye matamasha!

Ukiangalia page ya Frola Mbasha utaona wawili hawa wakiwa London wanavyoenjoy maisha huko! Na hizo habari zilikuwa zikirushwa kwa umakini na Gospel kitaa blog ikiwaonyesha wawili hao waliokuwa wakipendana sana!

Kuna video nyingi sana kwenye youtube zinazomuonesha Frola mbasha na mumewe wakiwa kwenye mikutano ya mchungaji Gwajima iliyofanyika kwenye baadhi ya mikoa hapa Tanzania, sasa kwanini tumsingizie Frola kuwa alimuwa akizunguka na Gwajima huku mumewe kabaki nyumbani!

Tusipende kukurupuka na kujump into conclusion kabla hatujafanya simpo study wakuu!
 
Story inaendelea kma ifuatavyoMoses Kulola ni mchungaji wa kwanza wa kilokole Tanzania
Iko hivi wakuu..
1. Kisa cha mbasha “kubaka" (Sitatoa kila detail ili kulinda identity
yangu)

Kabla sijaanza kueleza kisa hiki ni vizuri niwaeleze kidogo kuhusu
Intellijensia ya Gwajima jinsi ilivyo...

pale kanisani kwake wanavitengo mbali mbali amabvyo wenyewe
wanaviita ‘ministries' na katika ministry hizo zipo mbili ambazo ni
muhimu zaidi i) Media ministry ii)

Security ministry (hii huwa wanaiita ‘mashujaa' wa Daudi)...

Media - Ministry kazi yake ni kulitangaza kanisa mitaani na
kwenye vyombo vya habari, kueneza
‘propaganda' ya kanisa na mambo mengine yanayofanana na hayo.

Security Ministry - kazi yao ni kumlinda Gwajima.! Kama umewahi kufika pale kanisani utakuwa
umewahi kuwaona huwa wanavaa suti nyeusi na miwani nyeusi (kama secret service wa marekani).. wale jamaa usiwachukulie poa, majamaa wale ni wanajeshi na polisi wastaafu na wengine bado wapo kazini..

Sasa huduma hizi mbili zinaunda kitu kama “USALAMA WA TAIFA"
wa kanisa la Gwajima..

Turudi kwenye topic sasa....

Ni ukweli ambao ulikuja kubainika hivi karibuni kuwa Mr. Mbasha ana
mahusiano ya kimapenzi na shemeji
yake (kwa muda mrefu kidogo) na habari hii ikamfikia mpaka florah..
kipindi hiki florah bado anakaa hoteli! Suala hili florah aliwaeleza watu wachache sana wa karibu na likabakia kuwa siri.. lakini sisi wengine tikuwa tunalifahamu muda mrefu tu!

Kuna watu wakamshauri florah amuhoji mmewake na florah akauchukua huo ushauri akaenda
kumuhoji Mr.

Unaambiwa jamaa
aling'aka balaa na akakataa kata kata kuwa hana mahusiano na
shemejiye! Basi katika majibizano mara jamaa akaropoka kuwa mbona
hata yeye anafahamu kuwa florah ana mahusiano na Gwa**** lakini hasemi chochote!

Weeeeee ilikuwa balaa maana hicho kilikuwa kijikikao fulani hivi na ndugu kadhaa walikuwepo basi kila mtu akashikwa na bumbuwazi!!!

Unaambiwa flaorah
hakusema chochote akaanza kulia akainuka akaondoka!! Na baada ya hapo hata simu za mbasha akawa hapokei...

Inasemekana taarifa zikamfikia mchungaji wao Gwajima, basi Gwajima akamuita ofisini jamaa akakataa kwenda! Sasa katika hizo purukushani za kuwasuluhisha jamaa kuna siku akatishia kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano ya huyo mchungaji na mkewe florah!! Nahisi hapo ndipo alipojiroga..

KESI YA KUBAKA
baada ya mrafaruku kutokea jamaa akawa dizaini kama amesitisha mahusiano na shemejiye na hapa kati alikuwa hakai nyumbni kwa florah.. lakini inavyoonekana mchungaji alitishwa sana na mkwara wa jamaa kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano yake na mkewe... binafsi nahisi mipango ikaanza kusukwa na binti akasetiwa kwa ajili ya ‘operation tokomeza'!!

Juzi juzi hapa kabla ya tukio kutokea ndio huyu binti amerudi kwa florah akijua wazi kabisa dada take hayupo! Na kama ujuavyo muonja asali aonji Mara moja, jamaa kuona mzigo umerudi basi ikabidi wakumbushie enzi!

Sitaki kumaliza huondo wote lakini tujiulize maswali haya!!!

1. Hivi kubaka ndio inakuwa hivi?

Ni ijumaa mko nyumbani peke mnamaliza kula mchana mnakaa sebuleni mnapiga stori ‘mizuka inapanda mnaamua kuibanjua amri ya sita! Kesho yake jumamosi anakuja mgeni mnakuwa wapole tu, mnavunga mnaitana shemeji! Alafu kesho kesho yake jpili mnatengeneza mazingira ili muondoke peke yenu wawili!

Mnafika mahali fulani ubungo mnapaki gari mafichoni mnaanza kuibanjua amri ya sita! Mnatoka hapo mnaenda kanisani mnatabasamu kabisa ibada ikiisha mnatengeneza tena mazingira ili muondoke peke yenu! Mnafika kisehemu chenu mnapaki tena gari mnabanjuka! Halafu eti
amebakwa???????

Swali la pili la kilujiuliza!
Kwanini huyu binti baada ya tukio kutokea akawapigia simu bodyguards wa Gwajima ambao walienda kumchukua na kurudi nae nyumbani kwa gwajima??? Alafu eti hawa bodyguards ndio wanaanza kuwapa taarifa ndugu za florah!!

Kwanini apige simu kule??

Kwanini hakuwapigia simu ndugu zake kwanza?????,anapotezwa huyu!

Nimesend kama nilivyo receive

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Mhh! Duh! naanza kupata picha sasa, asante mkuu kwa kushare nasi
 
Haha nyie mnaangalia na kuhukumu kwa ukomo wa akili zenu hamjui wanaishije wala walikutanaje hadi kufikia hapo kwahiyo mambo ya ndoa yao wanayajua wao wenyewe acheni kukurupuka kwa kujifanya mnaifahamu sana ndoa yao, oeni na nyie ndio mtaijua ndoa ilivyo pale mtakapohukumiwa 😡

Kwa taarifa yako, hata wao hawayajui "mambo ya ndoa yao" ama sivyo wasingeyaleta hadharani. Huko ni kujikanyagakanyaga. Ukishafikisha "mambo yako ya ndani" hadharani basi ni haki ya jamii kutoa michango yao ya mawazo. Tena huenda yanayosemwa hapa yakawasaidia sana kuliko huko wanatakotaka kwenda.
 
Alafu huyo dr anasema bint kakutwa na mbegu za kiume, inamaana kipimo kinaonyesha mbegu niza mbasha?? Haiji kabisa mtu uliyekuwa unaishi nae ukambake ndani ya gari, hicho kisichana kililala na mtu mwingine, kisha kikajipeleka kupimwa.
 
binafsi ss naanza kuaminim kwamba sote tu watenda dhambi na tumepungukiwa na utukufu wa Mungu

Kama kuna watu unawaona ndio kipimo cha utakatifu basi jitathmini upya. Si kauli sahihi kwamba "uanze" kuamini hivyo kwa sababu ya binadamu wa kawaida kabisa kama hao. Binadamu wana thamani zao lakini inapokuja utakatifu huo ni uwanja mwingine kabisa - sio wa kufanyia mizaha. Hata wanaohangaika kumuinua Nyerere kwenye anga za utakatifu wananistaajabisha sana mimi ninayeamini kuwa alikuwa mtu "mkuu".
 
Ile thread wameitoa wakti sisi tulikua tunanena kumtoa gwajima pepo l ngono kma yeye anavyowaombea waumini wake,hii imeshakua stori kwenye blogs na mtaani.ki2 iko black n white kua ni setup ili imma aonekane mwovu yeye n bibie wapone

Nimeshahudhuria ibada kadhaa za Gwajima, na ninamahubiri yake ya kutosha ni mtu anayetumiwa na Mungu mightly, sikulazimishi ukubaliane nami! Sasa kama Mungu anamtumia kwa namna ya tofauti hivyo Je anapokuwa anagegeda hao ambao tumewasikia kama Frola, mke wa yule bwana iliesemekana kamtia makofi salon, mtoto iliesemekana kabwagiwa na king'ast chake na story nyingine nyingi! Hivi katika yote hayo bado atakuwa na Ulinzi wa Mungu? Na kama sivyo shetani kwanini asimuumbue basi kwa kufumaniwa zipigwe na picha au hata video! Mi naona hizi zote ni story zinapita tu!

Mtikila alipata kusema baada ta kuside na CCM kule Tarime ili aichafue Chadema, ulinzi wa Mungu ulitoka juu yake hivo akawa mtupu ndio maana akapigwa mawe, sasa kwa dhambi kubwa anayoambiwa amefanya Gwajima mbona hatuoni vithibitisho kwamba ni kweli mpaka mafutwa huyu anatabia hyo!

Tuache mambo hayo unless una evidence kuhusiana na tuhuma wanazozushiwa watumishi wa Mungu ndio uongee
 
Ukiwa mtu unayeishi kwa imani (unavyojionyesha) basi epuka kabisa kutafuta utetezi/ushahidi wa kidunia katika masuala ya imani. Aidha, Mwenyenzi Mungu hafanyi kazi zake kama unavyotarajia. Ndio maana wakati mwingine huacha watu wake wapigwe na majaribu makubwa kama kipimo cha imani zao. Kama unamwamini sana Gwajima kama mtumishi wa ukweli; wewe simama katika imani hiyo, usiulize ushahidi wa kidunia usije ukaishia kusumbuka sana na kupoteza mwelekeo - manake unawezaletewa huo "ushahidi" ukashindwa kuendelea na mjadala.
 
Nimeshahudhuria ibada kadhaa za Gwajima, na ninamahubiri yake ya kutosha ni mtu anayetumiwa na Mungu mightly, sikulazimishi ukubaliane nami! Sasa kama Mungu anamtumia kwa namna ya tofauti hivyo Je anapokuwa anagegeda hao ambao tumewasikia kama Frola, mke wa yule bwana iliesemekana kamtia makofi salon, mtoto iliesemekana kabwagiwa na king'ast chake na story nyingine nyingi! Hivi katika yote hayo bado atakuwa na Ulinzi wa Mungu? Na kama sivyo shetani kwanini asimuumbue basi kwa kufumaniwa zipigwe na picha au hata video! Mi naona hizi zote ni story zinapita tu!

Mtikila alipata kusema baada ta kuside na CCM kule Tarime ili aichafue Chadema, ulinzi wa Mungu ulitoka juu yake hivo akawa mtupu ndio maana akapigwa mawe, sasa kwa dhambi kubwa anayoambiwa amefanya Gwajima mbona hatuoni vithibitisho kwamba ni kweli mpaka mafutwa huyu anatabia hyo!

Tuache mambo hayo unless una evidence kuhusiana na tuhuma wanazozushiwa watumishi wa Mungu ndio uongee
Mkuu usimtetee Gwajima unless wewe ni Gwajima mwenyewe.
Aje ukumbini ajitetee mwenyewe.
Kwamba Gwajima ana uhusiano rasmi au sio rasmi na mke wa mtu, suala hilo halitendei haki huduma yake.
Na kwa vyovyote vile atakuwa naye amepungukiwa utukufu.
 
Naomba nifunguke kidogo nielezee
kile ninachokifahamu kuhusu ili
sakata!!
Mgogoro katika ndoa ya Mbasha na
Florah ulianza kushika kasi mwaka
jana mara baada ya Florah na
Mumewe kuhamia kuanza kusali
kanisani kwa GWAJIMA (ufufuo na
Uzima - kawe) wakitokea kanisa la
MITO YA BARAKA (kariakoo)!
Inasemekana kuwa mara baada ya
kuhamia kanisani hapo kwa mualiko
wa Gwajima (aliwaombe waje kusali
kwake), mchungaji Gwajima
alimfanya florah kama kiongozi wa
Ibada ya SIFA na KUABUDU katika
mikutani yake!! Kama ni mfuatiliaji
wa haya mambo utakumbuka kuwa
mwaka jana Florah alizunguka
Tanzania nzima akiwa na Gwajima
wakifanya mikutano ya Injili!!
Baada ya Muda kidogo Mchungaji
Gwajima alimpeleka Florah London
kwaajili ya masomo kitendo ambacho
inasemekana kilipingwa sana na
mumewe Mbasha! Ikumbukwe kuwa
GWAJIMA haiwezi kupita miezi
miwili pasipo kwenda UK coz
amefungua kanisa kule (GLORY OF
CHRIST - UK)!! So katika kipindi
ambacho florah alikuwa London
walikuwa wanaonana mara nyingi
sana na GWAJIMA...
Baada ya Florah kurudi Tanzania
ndipo akaanza hii ziara ya
kuzunguka mikoani na GWAJIMA..
inasemekana kuwa katika kipindi
hiki ndipo mahusiano ya kindoa kati
ya forah na mumewe yalizorota
zaidi... baada ya ziara kuisha Florah
arirudi nyumbani lakini she wasn't
the same (nisiseme zaidi)! Baada ya
mikwaruzano ya hapa na pale ndipo
Florah akaenda kukaa hotelini na
inasemekana hoteli ilikuwa inalipiwa
na mchungaji GWAJIMA, ikumbukwe
kuwa ni swala la kawaida kwa
Gwajima kuwalipia bills mbalimbali
viongozi wake wa huduma hapo
kanisani kwa mfano anamchngaji
anaitwa MAXMILLIAN MACHUM
amempangishia nyumba ya ghorofa
pale ubungo na wachungaji wake
wote wapatao thelethini
amewanunulia magari!! Lakini hata
hivyo hii hatua yake ya kumpangia
hoteli mke wa mtu ilizua maswali
mengi sana...
 
so...unachotaka kusema ni nini?????????..binafsi naamini hawa wachungaji na dini zao yapo maswali mengi ynaulizwa ila majibu wanajua wao wenyewe......cha msingi ni kutambua sisi binadam mbele za mungu wote ni wakosefu.....tusidanganyane kuna walio karibu na mwenyezi..ilihali kuna dhambi kwa ubinadam wetu wote tunadondoka
 
Mmh! Hapo tena ni majanga. Haya makanisa ya kisasa ni hatari sana inabidi tier makini na ndoa zetu!!
 
Back
Top Bottom