Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Ni Sahihi, ila katika audio hakukiri wala hakuna sehemu ambayo inaongelea issue ya kubaka. Linazungumzwa jambo fulani ambalo Mbasha anaomba msamaha kwa kosa alilofanya. Ila mazungumzo katika audio hayaweki wazi kosa lililofanyika
Pale ipo wazi tu kwani yule gal alifungua kesi gani against Mr.Mbasha ?
and gal anavyo lalamika kuwa "why unifanyie mimi? ulishindwa kutoka hata nje?" wew unahisi ni kitu gani....
Mbasha akajibu |"kuwa ukianza lalamika na kuuliza why nimekufanyia wew haisaidii, jus naomba msamahaa ndo la muhimu" vaa viatu vya Mbasha then sema hiyo statement itakuwa na kesi kama ipi

NIONALO HAPA NI KUNA HUWEZE KANO KUWA JAMAA KALA MZIGO KWELI LAKINI SABABU IKIWA HASIRA, VISASI N.K KULIPIZA YALE MKEWE ANAYO MFANYIA. JUST MAWAZO YANGU
 

SIKU chache baada ya tuhuma za ubakaji na mzozo wa familia ya mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emanuel Mbasha, mambo mengine yameibuka.


DSC_0006.JPG

Mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha

Yaliyoibuka safari hii ni taarifa kwamba, juzikati, Flora alivamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake, Tabata Kimanga jijiini Dar dakika chache baada ya yeye kuingia na gari akitokea mafichoni anakoishi kwa sasa.



Kwa mujibu wa chanzo, siku ya tukio ilikuwa saa 9.15 alasiri ambapo Flora aliingia nyumbani kwake na kufunguliwa geti kubwa kisha kuingiza gari ndani na geti kufungwa tena.

"Flora aliingia na gari akitokea hotelini anakoishi kwa sasa. Alikuwa ameshaingia na geti likafungwa. Ghafla, watu wakafika na kugonga geti hilo kwa nguvu huku wakisema watalibomoa geti kama wenyeji hao hawatafungua," kilisema chanzo.


1.jpg

Mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha akiwa na mumewe, Emanuel Mbasha,

Chanzo kikazidi kudai kwamba, ilibidi Flora apige simu polisi ili wafike kumuokoa yeye na familia yake.

"Polisi wawili walifika haraka sana wakiwa na bunduki na kukuta wale watu wamekimbia maana walimsikia Flora akiongea na polisi kuomba msaada.


"Lakini polisi wenyewe ilibidi watumie nguvu kubwa kugonga geti na kujitambulisha ndipo akatokea Flora na kuchungulia nje kupitia dirisha dogo. Alipowaona polisi akafungua mlango," kilisema chanzo hicho.

Akihojiwa na polisi hao, Flora alisema watu hao walikimbia na hakuwajua kwa sura wala hawakujitambulisha ni akina nani.


Alizungumza na gazeti hili baada ya tukio, Flora alisema: "Unajua kwa sasa nina hofu sana na nilihisi wale watu walikuwa wakinifuatilia kwa karibu kila sehemu, sasa naogopa kuendelea kuishi hapa, wanaweza kurudi na sijui lengo lao."


Hata hivyo, baada ya askari hao kuondoka katika eneo hilo, Flora naye aliingia kwenye gari lake akiwa na mdogo wake na kuondoka.

Mume wa Flora, Mbasha naye yupo mafichoni baada ya kudaiwa kumbaka binti wa miaka 17 ndani ya nyumba yao huku utata ukitawala kuhusu ukweli wa tukio hilo ambalo limeigawa jamii.

Pitia hii video umsikilize anayoyasema:





 
Last edited by a moderator:
Hii issue mimi hata siielewi labda mpaka itangazwe kwnye TV ndio nitaamini
 
Huyu mdada ajidharirisha na kuonyesha ulokole wake ni wa kitapeli,akaungane na Kova kuanzisha kampuni yao ya bongo movie!!!
 
Wacha movie iendeleee.... umaarufu kazi sikuiz hadi waimbaji wa injili wanatafuta kiki
 
Mme akipata pesa utaijua tabia yake, mke akipata mchepuko utaijua tabia yake.
 
Back
Top Bottom