Mume wa mzazi mwenzangu kanikataza kuwasiliana na mkewe

Mzee wa fact

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
246
Reaction score
228
Nilikua na girlfriend wangu na tulibahatika kupata mtoto ila tulitofautiana hali iliosababisha kutokuishi pamoja. Sasa mwezi uliopita mwenzangu kapata mwenza lakini tulikua tunawasiliana kawaida kuhusu malezi ya mtoto.

Jana mumewe kanipigia simu ananiambia nisiwasiliane na mkewe, ishu zote zinazohusu mtoto niwasiliane naye kitu ambacho mimi kwangu nakiona kigumu japo mzazi mwenzangu huwa ananipigiaga mwenyewe.
 
Inaonekana pale mapema haukutaka kuwajibika kwenye majukumu ya kumlea mwanao. Na sasa kinacho kuuma zaidi ni wivu kwa mzazi mwenzio kwasababu inaonekana wazi kwamba pamoja na kwamba amesha olewa lakini bado mnakulana.

Kimsingi huyo mzazi mwenzio hajitambui na ndio maana bado anakupigia pamoja na kwamba amesha olewa, na hadi mume mwenzio anakupigia maanayake tayari kuna Jambo linalo endelea amesha lifahamu.

Kwakifupi sioni kama kuna la kukushauri kwasababu wewe na huyo dem wote ni wapuuzi, tena mwambie kwamba sooner jamaa atampiga chini na ninauhakika hatawewe hautokua tayari kumuoa tena.

tapatalk_jpeg_1568211858235.jpg
 
View attachment 1755963
Mkuu, hiyo picha naona ni wewe unamcharaza Mtoa mada.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wengine yaani uoe single mama alafu uanze kuleta masharti ya kijinga kwamba asiongee na mzazi mwenzie🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wakiambiwa single maza sio wakuoa ni wakusasambua mbususu tuu wanachukulia poa.

Mwambie huyo mume wa mama mtoto wako aache ungese bwana. Papuchi sii ana lala nayo daily wasiwasi wa nini?
 
Inaonekana pale mapema haukutaka kuwajibika kwenye majukumu ya kumlea mwanao. Na sasa kinacho kuuma zaidi ni wivu kwa mzazi mwenzio kwasababu inaonekana wazi kwamba pamoja na kwamba amesha olewa lakini bado mnakulana.
Kimsingi huyo mzazi mwenzio hajitambui na ndio maana bado anakupigia pamoja na kwamba amesha olewa, na hadi mume mwenzio anakupigia maanayake tayari kuna Jambo linalo endelea amesha lifahamu.
Kwakifupi sioni kama kuna la kukushauri kwasababu wewe na huyo dem wote ni wapuuzi, tena mwambie kwamba sooner jamaa atampiga chini na ninauhakika hatawewe hautokua tayari kumuoa tena.

View attachment 1755963
Ila wewe 🤣🤣
 
Akizidi kujifanya anajua namgongea
Basi hapo unajiona mjanjaaaa na mwamba flani kumbe boya tu.

Mwamba ni huyo jamaa anaekulelea mwanao na kukuolea mwanamke wako na kakuchimba biti hivi hivi huku umekodoa macho na huna lolote la kufanya zaidi ya kukubali kwamba wewe ni sperm donor tu. Manina.
 
Akizidi kujifanya anajua namgongea
Sasa hapo unamgongeaje wakati papuchi yote unaijua na demu ametoka kwako ameenda kwa jamaa, sana sana unatafuta magonjwa tu, cha kufanya mtafute mwanaume mwenzio muongee kuhusu mustakabali wa mwanao
 
Thnx broo huu ndio ushauri murua
 
Basi hapo unajiona mjanjaaaa na mwamba flani kumbe boya tu.

Mwamba ni huyo jamaa anaekulelea mwanao na kukuolea mwanamke wako na kakuchimba biti hivi hivi huku umekodoa macho na huna lolote la kufanya zaidi ya kukubali kwamba wewe ni sperm donor tu. Manina.
Easy mkuu... [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom