Mume wa mzazi mwenzangu kanikataza kuwasiliana na mkewe

Mume wa mzazi mwenzangu kanikataza kuwasiliana na mkewe

Inakuwaje ananikoromea kuhusu malezi kama vepe ngoja niharibu tu
Kumbe una akili ndogo hivišŸ˜‚ inaonekana na demu lenyewe halina akili tu,

Mi ungemsahau hata huyo mtoto labda nisizijue hizi hila zakošŸ˜…šŸ˜…mnakutanaga na nungaembe ya kupelekwa km upepo,
 
Nilikua na girl friend wangu na tulibahatika kupata mtoto Ila tulitofaitiana hali iliosababisha kutokuishi pamoja sasa mwezi uliopita mwenzangu kapata mwenza lkn tulikua tunawasiliana kawaida kuhusu malezi ya mtoto Jana mumewe kanipigia simu ananiambia nisiwasiliane na mkewe ishu zote zinazohusu mtoto niwasiliane nae kitu ambacho Mimi kwangu nakiona kigumu japo mzazi mwenzangu huwa ananipigiaga mwenyewe
Shekh kuwa na msimamo unachotaka ni nini kumlea mtoto au unamtaka huyo mama maana kama bado hujajua unachotaka kati ya icho kama nikumlea mtoto fata anayotaka mwenye mali mpya na kama unamtaka huyo mama njoo nikupeleke kwa maalimu amvute kesho uwe naye mapema tu..

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Huyu Jamaa Ni Muongo Mara ana mke wa Miaka Saba Kafumaniwa na mchepuko .... Mara ana Girlfriend kazaa nae wameshindwa kuoana.. Tushike Lipi?? Haka Ni kavulana tuu kanajifunza kupakia Nyuzi JF
Ndiyo maana mie huwa napenda kutoa ushauri kwa wale waliokata tamaa na maisha na amefikia hatua anataka ajinyonge.... Lakini hawa wengine wakipost chai najifikiria cha kuchangia either nipost mkate au...
 
Fuata tu mashart maana ndege si wako tena.ukijiroga kumla huyo bidada utamuharibia yeye na mwanao pia,maana mwanao hapo ashamzoea anko mpya
 
Back
Top Bottom