Mzee wa fact
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 246
- 228
Mimi nimeheshimu hilo na nilikaa kimya ila mtoto akiumwa mama mtu ananitafuta mwenyewe.Tukushauri nini sasa hapo.?
Kama ni kweli amepata mume wa kumuoa huna budi kuheshimu hilo.
Nimeomba hilo mara nyingi ila mama mtu hataki.Yuko sahihi Kama vipi mchukue mwanao ujilelee
Mwambie mumewe atakubali umchukue.Nimeomba hilo mara nyingi Ila mama mtu hataki
Mkuu, hiyo picha naona ni wewe unamcharaza Mtoa mada.Inaonekana pale mapema haukutaka kuwajibika kwenye majukumu ya kumlea mwanao. Na sasa kinacho kuuma zaidi ni wivu kwa mzazi mwenzio kwasababu inaonekana wazi kwamba pamoja na kwamba amesha olewa lakini bado mnakulana.
Kimsingi huyo mzazi mwenzio hajitambui na ndio maana bado anakupigia pamoja na kwamba amesha olewa, na hadi mume mwenzio anakupigia maanayake tayari kuna Jambo linalo endelea amesha lifahamu.
Kwakifupi sioni kama kuna la kukushauri kwasababu wewe na huyo dem wote ni wapuuzi, tena mwambie kwamba sooner jamaa atampiga chini na ninauhakika hatawewe hautokua tayari kumuoa tena.
View attachment 1755963
Humkomoi jamaa hapo utakua unamharibia mama watoto wako yani hadi kwa mwanao utaharibuAkizidi kujifanya anajua namgongea
Inakuwaje ananikoromea kuhusu malezi kama vepe ngoja niharibu tuHumkomoi jamaa hapo utakua unamharibia mama watoto wako yani hadi kwa mwanao utaharibu
Ila wewe 🤣🤣Inaonekana pale mapema haukutaka kuwajibika kwenye majukumu ya kumlea mwanao. Na sasa kinacho kuuma zaidi ni wivu kwa mzazi mwenzio kwasababu inaonekana wazi kwamba pamoja na kwamba amesha olewa lakini bado mnakulana.
Kimsingi huyo mzazi mwenzio hajitambui na ndio maana bado anakupigia pamoja na kwamba amesha olewa, na hadi mume mwenzio anakupigia maanayake tayari kuna Jambo linalo endelea amesha lifahamu.
Kwakifupi sioni kama kuna la kukushauri kwasababu wewe na huyo dem wote ni wapuuzi, tena mwambie kwamba sooner jamaa atampiga chini na ninauhakika hatawewe hautokua tayari kumuoa tena.
View attachment 1755963
Basi hapo unajiona mjanjaaaa na mwamba flani kumbe boya tu.Akizidi kujifanya anajua namgongea
Sasa hapo unamgongeaje wakati papuchi yote unaijua na demu ametoka kwako ameenda kwa jamaa, sana sana unatafuta magonjwa tu, cha kufanya mtafute mwanaume mwenzio muongee kuhusu mustakabali wa mwanaoAkizidi kujifanya anajua namgongea
Thnx broo huu ndio ushauri muruaSasa hapo unamgongeaje wakati papuchi yote unaijua na demu ametoka kwako ameenda kwa jamaa, sana sana unatafuta magonjwa tu, cha kufanya mtafute mwanaume mwenzio muongee kuhusu mustakabali wa mwanao
Naam mwali, nimeitika...😉Ila wewe 🤣🤣
Easy mkuu... [emoji3][emoji3]Basi hapo unajiona mjanjaaaa na mwamba flani kumbe boya tu.
Mwamba ni huyo jamaa anaekulelea mwanao na kukuolea mwanamke wako na kakuchimba biti hivi hivi huku umekodoa macho na huna lolote la kufanya zaidi ya kukubali kwamba wewe ni sperm donor tu. Manina.
Thread 'Nimekata tamaa sijui cha kufanya' Nimekata tamaa sijui cha kufanyaNaam mwali, nimeitika...😉
Just feeling like stirring up trouble 😂😂😂soma post zangu za usiku huu🤭🤭🤭🤣🤣🤣Easy mkuu... [emoji3][emoji3]