Mzee wa fact
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 246
- 228
- Thread starter
-
- #21
Nina mhaho uyo michepuko kaniweza sipati picha wife atakavyofurahi kweli uchawi upoThread 'Nimekata tamaa sijui cha kufanya' Nimekata tamaa sijui cha kufanya
Umegusa penyewe. Mchepuko wake kaolewa now anahaha. 🤣
Kabisa fanya hivyo kamandaAkizidi kujifanya anajua namgongea
Kumbe una akili ndogo hivi😂 inaonekana na demu lenyewe halina akili tu,Inakuwaje ananikoromea kuhusu malezi kama vepe ngoja niharibu tu
Shekh kuwa na msimamo unachotaka ni nini kumlea mtoto au unamtaka huyo mama maana kama bado hujajua unachotaka kati ya icho kama nikumlea mtoto fata anayotaka mwenye mali mpya na kama unamtaka huyo mama njoo nikupeleke kwa maalimu amvute kesho uwe naye mapema tu..Nilikua na girl friend wangu na tulibahatika kupata mtoto Ila tulitofaitiana hali iliosababisha kutokuishi pamoja sasa mwezi uliopita mwenzangu kapata mwenza lkn tulikua tunawasiliana kawaida kuhusu malezi ya mtoto Jana mumewe kanipigia simu ananiambia nisiwasiliane na mkewe ishu zote zinazohusu mtoto niwasiliane nae kitu ambacho Mimi kwangu nakiona kigumu japo mzazi mwenzangu huwa ananipigiaga mwenyewe
Ndiyo maana mie huwa napenda kutoa ushauri kwa wale waliokata tamaa na maisha na amefikia hatua anataka ajinyonge.... Lakini hawa wengine wakipost chai najifikiria cha kuchangia either nipost mkate au...Huyu Jamaa Ni Muongo Mara ana mke wa Miaka Saba Kafumaniwa na mchepuko .... Mara ana Girlfriend kazaa nae wameshindwa kuoana.. Tushike Lipi?? Haka Ni kavulana tuu kanajifunza kupakia Nyuzi JF