Mume wa Rais katika dunia ya mfumo dume

Mume wa Rais katika dunia ya mfumo dume

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1616167026459.png
Mume wa Rais ni mtu wa muhimu sana katika jamii, kama alivyo mke wa Rais. Katika dunia ambayo bado ni mfumo dume, mume awe tayari kukutana na changamoto katika jamii.

Ninakumbuka wakati wa G8 summit, mume wa Angela Marckle alijikuta akiongozana na wake wa Marais katika kutembela shughuli za kijamii wakati mke wake akiwa kwenye vikao.

Mzee ni mtu muhimu sana katika nchi yetu na afahamu hii nafasi aliyonayo ina changamoto nyingi sana.
 
Na pia awe mshauri kwa mkewe...awe ana akili kwakweli kumzidi mkewe ili mambo yabalance...hivi kwa mfano anakua ana akili kama za Chalamila!!! Mie nakufungia makabatini...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule bwana duu dakika 2 mbele nimecheka kwa sauti, wanawake huwa tunambukia sehemu mpaka mtu anajiuliza hivi mlionana usiku[emoji3]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Msimfanye Mzee apanic jamani!

Mama Samia is not the First Lady president, hasa kwa Africa!

Mzee will survive it and I’m sure hata mafanikio ya Mama Samia mpaka hapa alipofikia mchango wa Mzee kwake umesaidia kwa asilimia kubwa sana!

They will make it InshaAllah!
 
Kumbe yule kansela wa ujerumani ana mume,ila huyu mzee mume wa mama Samia mpaka sasa atakuwa haamini kama amekuwa rais(indirectly)

Jiwe kwa kiburi chake ndio kaifanikisha hii ndoto ya kuwa na rais anayechuchumaa wakati wa kukojoa
Acha wivu kuwa na heshima. Humzidi mama kwa lolote kuanzia IQ na hata kipato. Uraisi si mali ya wanaume.

Germany ni super power bado mama ameaminika na anafanya vizuri kuliko maraisi midume mingi duniani.Unapomtukana Samia hata mama yako anakojoa akiwa amechuchumaa, mama yako akikusikia unavyomtusi lazima akulani.
 
Back
Top Bottom