Mume wa Rais katika dunia ya mfumo dume

Mume wa Rais katika dunia ya mfumo dume

Sio unaweza kukuta, Ndio mtanzania wa kwanza kugonga Rais
Kama prezida ni taasisi ndo kusema huyo mwamba akimpanda mama anakua kaipanda taasisi nzima? kama ni hivyo inabidi system wampangie ratiba ya kula vitu na siku ya Kula mzigo first baba awe anapimwa asijekutumia mkongo aichoshe taasisi kesho ishindwe kufanya majukumu ya kitaifa.
 
Kama prezida ni taasisi ndo kusema huyo mwamba akimpanda mama anakua kaipanda taasisi nzima? kama ni hivyo inabidi system wampangie ratiba ya kula vitu na siku ya Kula mzigo first baba awe anapimwa asijekutumia mkongo aichoshe taasisi kesho ishindwe kufanya majukumu ya kitaifa.
Jamani mbona mnamwandama Mzee wa watu, sahizi ni babu msimwekee maneno mdomoni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule bwana duu dakika 2 mbele nimecheka kwa sauti, wanawake huwa tunambukia sehemu mpaka mtu anajiuliza hivi mlionana usiku[emoji3]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣mie dhifa zote ntakua nakuacha kama unajitoa ufaham na mawivu wivu kama wapare🤗🤭
 
Acha wivu kuwa na heshima. Humzidi mama kwa lolote kuanzia IQ na hata kipato. Uraisi si mali ya wanaume.

Germany ni super power bado mama ameaminika na anafanya vizuri kuliko maraisi midume mingi duniani.Unapomtukana Samia hata mama yako anakojoa akiwa amechuchumaa, mama yako akikusikia unavyomtusi lazima akulani.
Nilikuwa namalizia kusoma coment nimjibu lakini hii pekee inatosha kumuonyesha jinsi gani alivyo mjinga
 
mama anamkubali sana mumewe anamuheshimu sana mpaka raha kilaanapopata nafasi lazima amshukuru ata hotuba yake ya kwanza ya urais hakusahau kumshukuru mumewe mama kafundwa sana huyu hadi raha
Yaan mapenzi ni two way trafic mkuu...utaheshimika kama na ww unamthamini mkeo/mumeo nawe atakuthamini popote pale...kifupi hapo anarudisha wema....
 
mama anamkubali sana mumewe anamuheshimu sana mpaka raha kilaanapopata nafasi lazima amshukuru ata hotuba yake ya kwanza ya urais hakusahau kumshukuru mumewe mama kafundwa sana huyu hadi raha sio kama hawa wengine akiwa na duka tu la vipodozi mume utakoma
Mapenzi ya wote wawili si mmoja awe mtumwa wa mapenzi kwa mwenzie, jinsi unavyojitoa kwa mwenzio naye atakupokea hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom