Ni kweli, kabisa, mama anatoka kwenye vikao vya bajeti huko kichwa kimejaa anahitaji faraja nyumbani.Na pia awe mshauri kwa mkewe...awe ana akili kwakweli kumzidi mkewe ili mambo yabalance...hivi kwa mfano anakua ana akili kama za Chalamila!!! Mie nakufungia makabatini...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule bwana duu dakika 2 mbele nimecheka kwa sauti, wanawake huwa tunambukia sehemu mpaka mtu anajiuliza hivi mlionana usiku[emoji3]Na pia awe mshauri kwa mkewe...awe ana akili kwakweli kumzidi mkewe ili mambo yabalance...hivi kwa mfano anakua ana akili kama za Chalamila!!! Mie nakufungia makabatini...
Yeah, umenena vyema. Sifa kuu ya mume ni kuwa na HEKIMA. Yaani kama alivyo mumeo BujibujiNa pia awe mshauri kwa mkewe...awe ana akili kwakweli kumzidi mkewe ili mambo yabalance...hivi kwa mfano anakua ana akili kama za Chalamila!!! Mie nakufungia makabatini...
Acha wivu kuwa na heshima. Humzidi mama kwa lolote kuanzia IQ na hata kipato. Uraisi si mali ya wanaume.Kumbe yule kansela wa ujerumani ana mume,ila huyu mzee mume wa mama Samia mpaka sasa atakuwa haamini kama amekuwa rais(indirectly)
Jiwe kwa kiburi chake ndio kaifanikisha hii ndoto ya kuwa na rais anayechuchumaa wakati wa kukojoa
Mume wa mama Samia na familia yake wanajitambua!! Mmewahi kumuona mzee wa watu akijionesha hovyo hovyo kwa sababu ya wadhifa wa mkewe? Yuko vizuri.MUNGU Awabariki wote ...
[emoji16][emoji16][emoji16] aiseeeNa pia awe mshauri kwa mkewe...awe ana akili kwakweli kumzidi mkewe ili mambo yabalance...hivi kwa mfano anakua ana akili kama za Chalamila!!! Mie nakufungia makabatini...
Akirud nyumbani kupika kama kawaidaNi kweli, kabisa, mama anatoka kwenye vikao vya bajeti huko kichwa kimejaa anahitaji faraja nyumbani.
Mara paap mzee anaoa mke wa piliUnakuta mzee anamwambia hawezi kula chakula kilichopikwa na house girl.