Mume wa Rais katika dunia ya mfumo dume

Kwahiyo ikitokea kitu kinahusisha wake za marais kutembelea miradi fulani inabidi na mzee awepo?
Tujifunze lugha, siyo "wake za maraisi" sema "wenza wa maraisi". Kule Luxembourg waziri mkuu wa kiume (shoga) ana mume. Hiyo picha chini huyo mwanaume ni mume wa waziri mkuu huyo na wake wa viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja.
 
Na pia awe mshauri kwa mkewe...awe ana akili kwakweli kumzidi mkewe ili mambo yabalance...hivi kwa mfano anakua ana akili kama za Chalamila!!! Mie nakufungia makabatini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ktk hii picha Wamependeza sana wazee hawa. Pia picha inaonesha mama mara nyingi ndiyo mwanzisha / mtoa hoja na mara nyingi anasikilizwa sana huku mawazo yake yanakubaliwa. Kwa kifupi ni kiongozi wa familia iliyo na demokrasia. Hivyo hata uongozi wa nchi hautampa changamoto sana kwani hutoa hoja kisha kusikilizia kama zinakubalika basi huzifanyia kazi.
 
🙄🙄🙄🙄🙄
 
Hivi mpaka mkeo anakuwa Rais we unakuwa uko wapi?
 
Kumbe yule kansela wa ujerumani ana mume,ila huyu mzee mume wa mama Samia mpaka sasa atakuwa haamini kama amekuwa rais(indirectly)

Jiwe kwa kiburi chake ndio kaifanikisha hii ndoto ya kuwa na rais anayechuchumaa wakati wa kukojoa
Kaazi kweli kweli. Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Jamaa ndo mwanaume wa kwanza Tz kumkaza Rais wa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…