Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Wote poleni kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na mtu aliyeipenda nchi yetu kwa dhati kabisa Mh. Rais John Magufuli.
Kufuatia msiba huu mzito nchi yetu inaenda kupata Rais Mwanamama Mh. Samia Hassan Suluhu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu na vivyo hivyo nchi itapata First Gentleman ambaye ni Hafidh Ameir. Huko nyuma tulizoea kuwa na First ladies lakini sasa mambo yanaenda kubadilika.
Je, kuna yeyote mwenye wasifu wa Mh. Hafidh Ameir ambaye ni First gentleman wetu mpya. Nimeshindwa kupata wala picha au video yake.
Pia soma
- Mama Samia: Pamoja na kuwa makamu wa Rais, napiga goti kwa mume wangu
- Raia Tanzania: Mume wa Makamu wa Rais ni nani? Wa watangulizi wake wanajulikana