Mume wa Samia Suluhu, Hafidh Ameir, sasa kuwa Tanzania's First Gentleman

Mume wa Samia Suluhu, Hafidh Ameir, sasa kuwa Tanzania's First Gentleman

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo atakuwa anaambatana naye kwenye ziara mbalimbali kama marais wa kiume wanavyofanya kwa wake zao!!?
 
Wote poleni kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na mtu aliyeipenda nchi yetu kwa dhati kabisa Mh. Rais John Magufuli.

Kufuatia msiba huu mzito nchi yetu inaenda kupata Rais Mwanamama Mh. Samia Hassan Suluhu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu na vivyo hivyo nchi itapata First Gentleman ambaye ni Hafidh Ameir. Huko nyuma tulizoea kuwa na First ladies lakini sasa mambo yanaenda kubadilika.

Je, kuna yeyote mwenye wasifu wa Mh. Hafidh Ameir ambaye ni First gentleman wetu mpya. Nimeshindwa kupata wala picha au video yake.

Pia soma

- Mama Samia: Pamoja na kuwa makamu wa Rais, napiga goti kwa mume wangu

- Raia Tanzania: Mume wa Makamu wa Rais ni nani? Wa watangulizi wake wanajulikana
vipi na yeye atapewa ulinzi?
 
Rais atampigia goti huyu jamaaa???au ni juu kwa juuu! Vipi km Rais akichepuka na Rais mwenzake jamaa atasubiria sebuleni au inakuwaje wajameni...

Au ni marufuku Rais kuchepuka? Je huyu mumewe anaweza kuongeza mme wa pili??

Au Rais atamfunga huyo mke mwenza? Hii ni sheria ya kiislamu!! Msipinge.

Akimuacha mama anaweza kuwekwa ndani na asitoke huko.

Ila huyu jamaa kwa wanaume wa kiafrica tena bongo amepigwa pingu hasa.akifanys masihara anauawa km sokoine kuns nini hapo!!!
Mmh
 
Kwakifupi mam samia atakuepo mjengoni for 14 years kama rais.
Anamalizia hii mi 4 ya magu.
Anagombea mi 5 yake ya kwanza
Anagombea mi 5 yake ya pili
Katiba haisemi hivyo. Akimaliza miaka 5 hii aliyoachiwa anaruhusiwa miaka 5 ya mhula mwingine basi
 
Rais atampigia goti huyu jamaaa???au ni juu kwa juuu! Vipi km Rais akichepuka na Rais mwenzake jamaa atasubiria sebuleni au inakuwaje wajameni...

Au ni marufuku Rais kuchepuka? Je huyu mumewe anaweza kuongeza mme wa pili??

Au Rais atamfunga huyo mke mwenza? Hii ni sheria ya kiislamu!! Msipinge.

Akimuacha mama anaweza kuwekwa ndani na asitoke huko.

Ila huyu jamaa kwa wanaume wa kiafrica tena bongo amepigwa pingu hasa.akifanys masihara anauawa km sokoine kuns nini hapo!!!
Jamani hebu kuweni na adabu. Huyu mama na mmewe ni watu wazima na wajukuu. Kuwa na heshima kijana
 
Mzee tayari sasa licha ya mshahara mnono na office yenye budget juu bado atapatiwa msafara na walinzi lukuki - kweli kufa kufaana !! Hongera zake !!
Hivi majukumu ya firstlady na first gentleman huwa ni nini??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom