Mume wa Samia Suluhu, Hafidh Ameir, sasa kuwa Tanzania's First Gentleman

Mume wa Samia Suluhu, Hafidh Ameir, sasa kuwa Tanzania's First Gentleman

Status
Not open for further replies.

Wote poleni kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na mtu aliyeipenda nchi yetu kwa dhati kabisa Mh. Rais John Magufuli.

Kufuatia msiba huu mzito nchi yetu inaenda kupata Rais Mwanamama Mh. Samia Hassan Suluhu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu na vivyo hivyo nchi itapata First Gentleman ambaye ni Hafidh Ameir. Huko nyuma tulizoea kuwa na First ladies lakini sasa mambo yanaenda kubadilika.

Je, kuna yeyote mwenye wasifu wa Mh. Hafidh Ameir ambaye ni First gentleman wetu mpya. Nimeshindwa kupata wala picha au video yake.

Pia soma

- Mama Samia: Pamoja na kuwa makamu wa Rais, napiga goti kwa mume wangu

- Raia Tanzania: Mume wa Makamu wa Rais ni nani? Wa watangulizi wake wanajulikana
Huwa sielewi logic ya mada zingine na it is the case with many posts in JF.Nadhani zina nia ya distortion from important,main and real issues.Huu ni mkakati wa the Big Brother mostly.Sasa hili bandiko linasaidia nini seriously.I am sorry, ila ni ukweli.
 
Akilegeza tu miradi yote nchi nzima watu wanaigeuza kuwa cashcow...yanarudi yale ya 'unajua mi ni nani?'
Magu hana wa kumfananisha na itachukua vizazi vingi kupata wa aina yake
Unataka kuniambia nchi yenye watu 50+ milioni hakuna wa kufanana na Magu???
 
Unataka kuniambia nchi yenye watu 50+ milioni hakuna wa kufanana na Magu???
Wapo wengi sana, ila kwenye system ndio hawapo hadi vizazi vingine viingie ndo system itapata mtu wa hivyo
 
Jamani hebu kuweni na adabu. Huyu mama na mmewe ni watu wazima na wajukuu. Kuwa na heshima kijana
siyo mbaya ebu kuwa na mawazo huru Na chanya mzee.nayo sema ndivo tulivyo waafrica.

Yaani kuwana nyumba nyingi.ni kawaida kwetu. sisi siyo wazungu bana kamwe hatujikatai.

Huyo mzee bado sana. Kwetu kiafrica zaidi. Mtu anakuwa na vilembwe lkn bado anaoa wanao lingana na hao vilembweze. Na wanazaa watoto. Wenye pesa na Elimu kuliko weye!

Na hkn shida sembuse mjukuu??? wewe Wa wapi mzee daisalama nini!!
Hapo nimemkosea heshima wapi wkt ni "ke"
amekamilika!!!
Wa africa ndivo tulivyo kwa nini mnalazimisha tujikatae?????

Au unamuona kilema huyo?????!!! Enhee?? nakuuliza babu? Unajikataa sababu tu umekataliwa????

Na kaweka mambo hadharani kuonyesha ukamilifu wake ili tujadili. Wewe unatufunga funga!!! acha wivu wa kinaniii...weweee!!! Km huna ni wewe!!tuache tufanye yetu!

Babu bado analipa huyo jadili kwa uhuru itakuwaje kwa mlinzi "ke" wa Rais? Na mlinzi lazima atakuwa mdada anae jua judo.

wacha kutafunya maneno wewe babu..... tena km nyie ndo hatari kabisa????? Hatutaki kusikia mambo ya ghafla ghafla kushtukizwa tena.

Oohoo! mara babu hayuko Ikulu tena.Analala peke yake mara katengwa kitanda ...

Aibu iko wapi hapo? kuongelea mashine zetu sote?. Kila mtu anayo. Km ulirogwa kakapinda unakaonea aibu sema utibiwe.

uko hapo unabwabwaja sababu kuna mtu alijipinda akaililia??

Mbona yeye hakumficha km ni aibu? Kamfiche wako huyo mwenye sura km naniliu...

Nyie ndo mnashindwaga kuwafundisha mabinti zenu kuhusu ukimwi wanakufa hafu mnatulilia!!!

Binti yako muonyeshe na umfundishe kwa vitendo ili ajue chungu na karaha ya ukimwi.

Na ajilinde na wanaume laghai wewe!!! Dunia imebadirika sana. Wa wapi wewe????

Siyo Ohoo! Mara binti yangu kwa mila na desturi Zetu oohoo!
Mama kaharisha!!... Utampoteza huyo!! hayaaa weee!!!

Sometime mkeo alikupiga changa la macho!!!... Sasa unajambajamba hovyo tu....nipishege hukoooo.....mfyuxxcz!
 
Kwakifupi mam samia atakuepo mjengoni for 14 years kama rais.
Anamalizia hii mi 4 ya magu.
Anagombea mi 5 yake ya kwanza
Anagombea mi 5 yake ya pili
Hapana, atakaa miaka tisa, siyo kumi na nne. Hii awamu imebakiza miaka minne na miezi minane. Kwa hiyo kulingana na Katiba, awamu hii itahesabika kuwa ni awamu yake ya kwanza, halafu itafuata nyingine ya pili ya miaka mitano.

Kulingana na Katiba yetu, kama awamu hii ingekuwa imebakiza miaka isiyozidi mitatu, isingehesabika kama awamu yake ya kwanza. Katika hali hii, awamu yake ya kwanza ingehesabika kuanzia mwaka 2025. Hii ni sahihi tu iwapo kama sikumsikia vibaya Jaji Warioba jana kwenye TV
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ningekua mimi ningemtia talaka staki mwanamke awe juu yangu.yaani kajamaa kanamvua chupi rais wa nchi
 
Wote poleni kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na mtu aliyeipenda nchi yetu kwa dhati kabisa Mh. Rais John Magufuli.

Kufuatia msiba huu mzito nchi yetu inaenda kupata Rais Mwanamama Mh. Samia Hassan Suluhu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu na vivyo hivyo nchi itapata First Gentleman ambaye ni Hafidh Ameir. Huko nyuma tulizoea kuwa na First ladies lakini sasa mambo yanaenda kubadilika.

Je, kuna yeyote mwenye wasifu wa Mh. Hafidh Ameir ambaye ni First gentleman wetu mpya. Nimeshindwa kupata wala picha au video yake.

Pia soma

- Mama Samia: Pamoja na kuwa makamu wa Rais, napiga goti kwa mume wangu

- Raia Tanzania: Mume wa Makamu wa Rais ni nani? Wa watangulizi wake wanajulikana
Safi sana
 
Hafiz ndo anaziba nafasi ya Janet Magufuli, so Hafiz kuanzia leo ndo first lady wa Tanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23] first lady tena jamani haaa haaa haaa watu mnakulaga nini [emoji3]
 
Rais atampigia goti huyu jamaaa???au ni juu kwa juuu! Vipi km Rais akichepuka na Rais mwenzake jamaa atasubiria sebuleni au inakuwaje wajameni...

Au ni marufuku Rais kuchepuka? Je huyu mumewe anaweza kuongeza mme wa pili??

Au Rais atamfunga huyo mke mwenza? Hii ni sheria ya kiislamu!! Msipinge.

Akimuacha mama anaweza kuwekwa ndani na asitoke huko.

Ila huyu jamaa kwa wanaume wa kiafrica tena bongo amepigwa pingu hasa.akifanys masihara anauawa km sokoine kuns nini hapo!!!
Hawa wameoana 1978 sijui kama ulikuwa umezaliwa, hapo mama alikuwa na 18yrs mpaka sahizi miaka mingapi wanajuana tabia, goti atapiwa tu akiwa nyumbani ni mama na mke wa mtu![emoji23][emoji23]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ningekua mimi ningemtia talaka staki mwanamke awe juu yangu.yaani kajamaa kanamvua chupi rais wa nchi
Kuwa na heshima basi mbona unadhalilisha wazazi hata kama hawajakuzaa, wape heshima nawewe pia una mama na Baba pia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom