Mume wa Samia Suluhu, Hafidh Ameir, sasa kuwa Tanzania's First Gentleman

Mume wa Samia Suluhu, Hafidh Ameir, sasa kuwa Tanzania's First Gentleman

Status
Not open for further replies.
Kuwa na heshima basi mbona unadhalilisha wazazi hata kama hawajakuzaa, wape heshima nawewe pia na mama na Baba pia.
don't take it personal I was just joking.naelewa sana thamani ya mwanamke.Mama Samia Big Up kimbizaaa
 
don't take it personal I was just joking.naelewa sana thamani ya mwanamke.Mama Samia Big Up kimbizaaa
Uwe unapunguza ukali wa maneno yaani unajua mwanamke akidhalilishwa hujisikia vibaya sana, na kusahau ni ngumu, tunarekebishana tu, vipi upo msibani kwa sasa?
 
Uwe unapunguza ukali wa maneno yaani unajua mwanamke akidhalilishwa hujisikia vibaya sana, na kusahau ni ngumu, tunarekebishana tu, vipi upo msibani kwa sasa?
msiba au sherehe?? bora tuongozwe
na samia kuliko lile shetani
 
Kwakifupi mam samia atakuepo mjengoni for 14 years kama rais.
Anamalizia hii mi 4 ya magu.
Anagombea mi 5 yake ya kwanza
Anagombea mi 5 yake ya pili
Katiba iko wazi kiongozi, angekuwa anamalizia miaka aliyeocha Hayati Magufuli chini ya miaka mitatu ruksa kugombea mara mbili.
Ila anakwenda kumalizia miaka minne na nusu ya awamu ya tano. Hivyo anaruhusiwa kugombea mara moja tu. Labda wabadili katiba na kuondoa ukomo wa urais.
 
Kwakifupi mam samia atakuepo mjengoni for 14 years kama rais.
Anamalizia hii mi 4 ya magu.
Anagombea mi 5 yake ya kwanza
Anagombea mi 5 yake ya pili
hapana kama atagombea atashinda basi ni awamu moja iyo ingewezekana kama labda angekuwa ameachiwa miaka 3 au chini ya hapo basi angekuwa na ruhusa ya kugombea awamu mbili
 
hapana kama atagombea atashinda basi ni awamu moja iyo ingewezekana kama labda angekuwa ameachiwa miaka 3 au chini ya hapo basi angekuwa na ruhusa ya kugombea awamu mbili
Ahsante kunijulisha
 
Katiba iko wazi kiongozi, angekuwa anamalizia miaka aliyeocha Hayati Magufuli chini ya miaka mitatu ruksa kugombea mara mbili.
Ila anakwenda kumalizia miaka minne na nusu ya awamu ya tano. Hivyo anaruhusiwa kugombea mara moja tu. Labda wabadili katiba na kuondoa ukomo wa urais.
Nimeksoma chief.Sikuyajua haya mkuu
 
Hapana, atakaa miaka tisa, siyo kumi na nne. Hii awamu imebakiza miaka minne na miezi minane. Kwa hiyo kulingana na Katiba, awamu hii itahesabika kuwa ni awamu yake ya kwanza, halafu itafuata nyingine ya pili ya miaka mitano.

Kulingana na Katiba yetu, kama awamu hii ingekuwa imebakiza miaka isiyozidi mitatu, isingehesabika kama awamu yake ya kwanza. Katika hali hii, awamu yake ya kwanza ingehesabika kuanzia mwaka 2025. Hii ni sahihi tu iwapo kama sikumsikia vibaya Jaji Warioba jana kwenye TV
Ahsante kwa ufafanuzi.Katiba ninayo ila kuisoma sijawah maliza hata page 3😂😂 poor me
 
Hawa wameoana 1978 sijui kama ulikuwa umezaliwa, hapo mama alikuwa na 18yrs mpaka sahizi miaka mingapi wanajuana tabia, goti atapiwa tu akiwa nyumbani ni mama na mke wa mtu![emoji23][emoji23]
kumbuka baba watu siyo vyuma wana badirika
 
Wote poleni kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na mtu aliyeipenda nchi yetu kwa dhati kabisa Mh. Rais John Magufuli.

Kufuatia msiba huu mzito nchi yetu inaenda kupata Rais Mwanamama Mh. Samia Hassan Suluhu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu na vivyo hivyo nchi itapata First Gentleman ambaye ni Hafidh Ameir. Huko nyuma tulizoea kuwa na First ladies lakini sasa mambo yanaenda kubadilika.

Je, kuna yeyote mwenye wasifu wa Mh. Hafidh Ameir ambaye ni First gentleman wetu mpya. Nimeshindwa kupata wala picha au video yake.

Pia soma

- Mama Samia: Pamoja na kuwa makamu wa Rais, napiga goti kwa mume wangu

- Raia Tanzania: Mume wa Makamu wa Rais ni nani? Wa watangulizi wake wanajulikana
Dah! easy tu.. maisha bwana
 
Huyu ndiye First Gentleman wa Tanzania. Anaitwa ndugu Hafidh Ameir.

Wengi walikuwa wanamuuliza maana ni mnadra sana kuonekana.

Wamejaaliwa kupata watoto wao wanne.

Mama yetu Samia hanaga makuu ya kuonyesha familia yake kama baadhi ya viongozi wengine.

Screenshot_20210319-224907.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom