Mume wa Samia Suluhu, Hafidh Ameir, sasa kuwa Tanzania's First Gentleman

Mume wa Samia Suluhu, Hafidh Ameir, sasa kuwa Tanzania's First Gentleman

Status
Not open for further replies.
Kuna watu mipango yao ya Urais imepigwa summersault ya kufa mtu. Mama Samia until 2025...then awamu nyingine ya miaka mitano kama status quo itaendelea.
Hata mimi nimeona hili, kama watu walijipanga sasa imekula kwao.
 
Mzee tayari sasa licha ya mshahara mnono na office yenye budget juu bado atapatiwa msafara na walinzi lukuki - kweli kufa kufaana !! Hongera zake !!
Nilichojifunza Mimi ni kuwa "maisha yako" yawezekana ndio bora zaidi ya unajilinganisha nao

Maalim seif watu walimuonea donge na wivu kumbe mwenzetu ndio anatangulia

JPM tuliamini atakuepo sana tu,Leo yupo wapi

Watu wamekufa wameacha mishahara ya maana na Magari

Hakuna point ya kumuonea mtu donge....Wenda anaenda kupitia mazito
Just saying
 
Hata mimi nimeona hili, kama watu walijipanga sasa imekula kwao.
Maza ninauhakika atajitahidi kukaza ili achukue tena 2025, labda awe amechoka maana haonekani kama anaweza huu mziki mnene kwa muda mrefu
 
Kwakifupi mam samia atakuepo mjengoni for 14 years kama rais.
Anamalizia hii mi 4 ya magu.
Anagombea mi 5 yake ya kwanza
Anagombea mi 5 yake ya pili
 
Yale yale ya "atawale milele"!
Sijui hamjifunzi sijui mtindio wa ubongo?
Mawazo yenu siyo mawazo ya Mungu.
Katiba inaruhusu term moja tu endapo makamu ametawala miaka inayozidi mitatu mara baada ya raisi iliyopo madarakani kufariki,,
 
Yale yale ya "atawale milele"!
Sijui hamjifunzi sijui mtindio wa ubongo?
Mawazo yenu siyo mawazo ya Mungu.
Natumia a normal experience tu ya unafiki wenu watanzania mnaoibiwa kura daily but u act not.

Kabla hujamzushia Mungu na mawazo yake hebu tumia mawazo pia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom