Mitchell
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 904
- 1,036
Alooo mapajani tena 🤣 🤣 🤣Aloo Mchungaji mtamu hapo mbona ntasadakia mali zangu zote ili tu nikae katikati ya uvungu wa mapaja ya mchungaj anipe joto la rohoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alooo mapajani tena 🤣 🤣 🤣Aloo Mchungaji mtamu hapo mbona ntasadakia mali zangu zote ili tu nikae katikati ya uvungu wa mapaja ya mchungaj anipe joto la rohoni.
Ndiyo mapajani mrembo😋Alooo mapajani tena 🤣 🤣 🤣
NeverNever judge people by their past,
people learn,people change,
people move on.
Nikikumbuka yale manywele yaje ya kule...upako unanipasua kabisaaa...aisee
Wakamletea mwanamke mzinzi, Yesu akawaambia, Asiye na dhambi na awe wa kwanza kumpga mawe, "wakatawanyika kama upepo"Bila shaka wengi wetu tunajua huyu mdada alifiwa na mume wake wa kwanza.
Baadae akatokea ustaadhi mmoja hapa chuga akamsilimisha na kumfanya mkewe.
Baada ya muda dogo akadoda wakachana akawa single mshangazi.
Kaibuka hivi majuzi akijiita ni pastor mchunga kondoo, mwanaume wa kumpelekea moto anapowaka tamaa ya ngono hajulikani, mwanaume wa kumuongoza kama kichwa hajulikani.
Kwenu kondoo wote wa Irene hebu mtujuze mume wa pastor wenu ni nani hasa?
Kwa nini umetoka nje ya mada mkuu?Wakamletea mwanamke mzinzi, Yesu akawaambia, Asiye na dhambi na awe wa kwanza kumpga mawe, "wakatawanyika kama upepo"
Wanao comment kuhusu Uwoya wao wenyewe washafanya uzinzi kupitiliza!
D mbili huwezi elewa.Kwa nini umetoka nje ya mada mkuu?
Basi hebu niambie....D mbili huwezi elewa.