Mume wa sasa wa pastor Irene Uwoya ni nani?

Mume wa sasa wa pastor Irene Uwoya ni nani?

Hata Beyonce ana Kanisa lake na yeye ndiye Mungu wa waumini wake.😂😂😂

Biblia inasema shika sana ulicho nacho.
Maandalizi ya Shetani/Lucifer/Ibilisi/666/🤘ya kuuangamiza ulimwengu kwa mateso na dhiki kuu, yanaendelea.
 
Hata Beyonce ana Kanisa lake na yeye ndiye Mungu wa waumini wake.😂😂😂

Biblia inasema shika sana ulicho nacho.
Maandalizi ya Shetani/Lucifer/Ibilisi/666/🤘ya kuuangamiza ulimwengu kwa mateso na dhiki kuu, yanaendelea.
Ila life ya Beyonce na Uwoya ni tofauti mkuu. Huyu mbongo mwenzetu skendo nyingi.
 
Bila shaka wengi wetu tunajua huyu mdada alifiwa na mume wake wa kwanza.

Baadae akatokea ustaadhi mmoja hapa chuga akamsilimisha na kumfanya mkewe.

Baada ya muda dogo akadoda wakachana akawa single mshangazi.

Kaibuka hivi majuzi akijiita ni pastor mchunga kondoo, mwanaume wa kumpelekea moto anapowaka tamaa ya ngono hajulikani, mwanaume wa kumuongoza kama kichwa hajulikani.

Kwenu kondoo wote wa Irene hebu mtujuze mume wa pastor wenu ni nani hasa?
Unautaka ubaba mchungaji Irene uwoya!!?
 
Kuna vitu ukoshavifanya duniani vinaharibu reputation yako hata ubadilike vipi tayari jamii ishakuwekea picha flani ambayo mpk unazikwa haitafutika, huyu bora angeendelea na lifestyle yake ya zamani maana ni kama anajikana tu
Wewe unafikiri huyo ni mchafu sana kuliko watu wengi unaowaona??Yaani hao watu wanaojiachia kwa uhuru wana amani kuliko watu wengi wanaofanya uhuni usiku na mchaba kwa kujificha.Tuache kuhukumu watu
 
we need morden ulokole mambo ya akina mtume paulo sijui tupa kule, mchungaji avae kimini, paja nje nje, waumini tukienda kanisani tunapunguza stress za mahusiano kwa kuangalia uumbaji wa allah kwa mchungaji, mkoje nyie? yan mambo ya miaka 2000+ iliyopita mnataka kuyaleta karne hii? bakini huko rc/kkkt kwenu msituchoshe.
Acha ujinga
 
431664031_928441865329794_3291846109615529004_n.jpg
 
Uwoya ana mwili mlaini hadi shida, yani ukimtizama tu unajidisia
 
Back
Top Bottom