Huko mnapowafatilia mnashindwa nini kuwauliza hayo maswali..?Huwa hatuwafuatilii bali wao wenyewe huomba tuwafollow na ndipo huko sasa hukutana na vituko vyao 😂
Taarifa binafsi za mtu kuziulizia haijakaa sawa, hata wewe ukifanyiwa hivyo hautapenda.