Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kwa hiyo wewe unao uhakika kwamba Irene hajabadilika?Huyo nimemuuliza hivyo coz yeye ameniuliza kua nina uhakika gani kama amebadilika? ndio na mimi nikamuuliza hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe unao uhakika kwamba Irene hajabadilika?Huyo nimemuuliza hivyo coz yeye ameniuliza kua nina uhakika gani kama amebadilika? ndio na mimi nikamuuliza hivyo.
Hivi kwa akili zako timamu unaweza kufuata ushauri wa mtu kama huyo? Acheni kutufanya wajinga, huyo tyr misingi ya maisha yake ni umalaya sidhani kama Leo akitokea kigogo mwenye doo akashindwa kushtua hapo. Kuna vitu haviwezi kubadilika hata ufanyanyeje angalia mwili, angalia mavazi, angalia tu muonekano. Alafu uniambie kama kuna mabadiliko hapo. Mimi sija count sins nimeongea uhalisia hakuna mchungaji wala mtu wa mungu hapo.Sijaongelea kuhusu watu watakaoenda huko Kanisani ila huenda kuna watu wakamuona amebadilika yeye kama yeye kisha nao wakafuata njia njema aliyoichagua,hayo ya nyuma ya pazia hata wewe huyajui,tumuachie mwenyewe muhusika hayo ya nyuma ya pazia,
Bila shaka hata wewe unayo yako ya nyuma ya pazia,kila binadamu ana mapungufu yake,
Counting other people's sins does not make you a Saint.
Itakuwa wewe ni mteja wakehataki kuwa mnafiki, anataka watu waone alikotoka, alipo na anakotaka kwenda,
usimuhukumu pastor wa friends of god ministry unatenda dhambi mbaya sana.Mtume Paulo aliyafanya kuwa vinyesi yale mabaya yote yaliyopita.
Sasa huyu mshangazi bado kaweka mapicha yake ya nusu uchi kule mitandaoni, kuna pastor hapo, au kuna mtu kabadilika hapo.
Irene ni kahaba aliyekuja kwa vazi la uchungaji kuboresha biashara yake ya ukahaba na ndio maana hajafuta picha zake za zamani.
Si ndo hapo sass, unajua wajinga ndo waliwao huyo anataka kutumia umaarufu kuficha ujinga aloufanya af wapuuzi wanasapoti. Najua kakaa kwenye industry miaka mingapi af eti ndani ya mwaka mmoja atangaze kawa mchungaji acheni kushadadia ujinga wa waziwaziAngekuwa kabadilika angefuta picha zake zote huko mitandaoni zinazochochea ngono.
Kuna watu kama baba swalehe huwa wanapigia puli hizo picha.
Irene ni yule yule hajabadilika.
Sijamhukumu Ila matendo yake ndiyo yanamhukumu.usimuhukumu pastor wa friends of god ministry unatenda dhambi mbaya sana.
wa kumnyandua au?Itakuwa wewe ni mteja wake
Una wasiwasi na nyege zake?Bila shaka wengi wetu tunajua huyu mdada alifiwa na mume wake wa kwanza.
Baadae akatokea ustaadhi mmoja hapa chuga akamsilimisha na kumfanya mkewe.
Baada ya muda dogo akadoda wakachana akawa single mshangazi.
Kaibuka hivi majuzi akijiita ni pastor mchunga kondoo, mwanaume wa kumpelekea moto anapowaka tamaa ya ngono hajulikani, mwanaume wa kumuongoza kama kichwa hajulikani.
Kwenu kondoo wote wa Irene hebu mtujuze mume wa pastor wenu ni nani hasa?
Huyu shangazi hajaacha ukahaba na ndio maana hata mume hajulikani ni nani?Si ndo hapo sass, unajua wajinga ndo waliwao huyo anataka kutumia umaarufu kuficha ujinga aloufanya af wapuuzi wanasapoti. Najua kakaa kwenye industry miaka mingapi af eti ndani ya mwaka mmoja atangaze kawa mchungaji acheni kushadadia ujinga wa waziwazi
Bila shaka wengi wetu tunajua huyu mdada alifiwa na mume wake wa kwanza.
Baadae akatokea ustaadhi mmoja hapa chuga akamsilimisha na kumfanya mkewe.
Baada ya muda dogo akadoda wakachana akawa single mshangazi.
Kaibuka hivi majuzi akijiita ni pastor mchunga kondoo, mwanaume wa kumpelekea moto anapowaka tamaa ya ngono hajulikani, mwanaume wa kumuongoza kama kichwa hajulikani.
Kwenu kondoo wote wa Irene hebu mtujuze mume wa pastor wenu ni nani hasa?
Nina wasiwasi na uchungaji wake 😂Una wasiwasi na nyege zake?
Hili tukio linahusiana vipi na mada ya mume wa Irene?Maana ya Tukio Hili
Ukishamjua utaulizia kama huyo mume ana uume.Hili tukio linahusiana vipi na mada ya mume wa Irene?
Yesu alikuja kwaajili ya Mafirauni, Majambazi , Makahaba, mayatima, waliokataliwa na maskini;Smart911 nasie lazima tuanzishe kanisa Halleluiiiiiiijah!
Sikuhizi Injili imevamiwa kama sio kuingiliwa🙌🙌🙌🙌!
Mathayo 23:27-28: "Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mmefanana na makaburi yaliyopakwa chokaa, ambayo kwa nje yaonekana kuwa mazuri, bali ndani yake yamejaa mifupa ya wafu, na uchafu wote. Vivyo hivyo ninyi nanyi, kwa nje mwaonekana na watu kuwa wenye haki, bali ndani mmejaa unafiki na maasi.Smart911 nasie lazima tuanzishe kanisa Halleluiiiiiiijah!
Sikuhizi Injili imevamiwa kama sio kuingiliwa🙌🙌🙌🙌!
Kuna wanaume wana uume Ila huwa hauna uwezo wa kusimama dede, huenda hata bibie akawa na mume wa hivyo.Ukishamjua utaulizia kama huyo mume ana uume.
Bila shaka wengi wetu tunajua huyu mdada alifiwa na mume wake wa kwanza.
Baadae akatokea ustaadhi mmoja hapa chuga akamsilimisha na kumfanya mkewe.
Baada ya muda dogo akadoda wakachana akawa single mshangazi.
Kaibuka hivi majuzi akijiita ni pastor mchunga kondoo, mwanaume wa kumpelekea moto anapowaka tamaa ya ngono hajulikani, mwanaume wa kumuongoza kama kichwa hajulikani.
Kwenu kondoo wote wa Irene hebu mtujuze mume wa pastor wenu ni nani hasa?
Na Mbinguni wataenda!Kuna wanaume wana uume Ila huwa hauna uwezo wa kusimama dede, huenda hata bibie akawa na mume wa hivyo.