Mume wa sasa wa pastor Irene Uwoya ni nani?

Mume wa sasa wa pastor Irene Uwoya ni nani?

Yesu alikuja kwaajili ya Mafirauni, Majambazi , Makahaba, mayatima, waliokataliwa na maskini;
Mafarisayo na Masadukayo ndio nyie, mnajiona watakatifu kwa matendo yenu na kujihesabia haki na kutenga watu flani kuwa ni wadhambi, mliambiwa muache unafki!
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa!!

Asante sana kwa mwongozo!

Kweli unafiki siooo poaaa kabisa!

Cc Smart911
 
granitized soma na uelewe hii post..
we need morden ulokole mambo ya akina mtume paulo sijui tupa kule, mchungaji avae kimini, paja nje nje, waumini tukienda kanisani tunapunguza stress za mahusiano kwa kuangalia uumbaji wa allah kwa mchungaji, mkoje nyie? yan mambo ya miaka 2000+ iliyopita mnataka kuyaleta karne hii? bakini huko rc/kkkt kwenu msituchoshe.
 
Mathayo 23:27-28: "Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mmefanana na makaburi yaliyopakwa chokaa, ambayo kwa nje yaonekana kuwa mazuri, bali ndani yake yamejaa mifupa ya wafu, na uchafu wote. Vivyo hivyo ninyi nanyi, kwa nje mwaonekana na watu kuwa wenye haki, bali ndani mmejaa unafiki na maasi.
Halleluiiiiiiijah!!

Amen!

Cc Smart911
 
we need morden ulokole mambo ya akina mtume paulo sijui tupa kule, mchungaji avae kimini, paja nje nje, waumini tukienda kanisani tunapunguza stress za mahusiano kwa kuangalia uumbaji wa allah kwa mchungaji, mkoje nyie? yan mambo ya miaka 2000+ iliyopita mnataka kuyaleta karne hii? bakini huko rc/kkkt kwenu msituchoshe.
Nataka nikuulize swali
Upo ndani ya ndinga lako usiku unapita baadhi ya maeneo dar
Huwa unajua wale wanaojiuza kwa sababy ipi? Nikimaanisha huwa unajuaje huyu mwanamke anajiuza
 
Back
Top Bottom