granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
ni zake ila zina uhusiano gani na swal lako?Unataka kusema hizo picha sio za pastor uwoya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni zake ila zina uhusiano gani na swal lako?Unataka kusema hizo picha sio za pastor uwoya?
Picha zina ujumbe kwa Friends of God Ministry family, kwamba pastor wao sio wa kumuamini.ni zake ila zina uhusiano gani na swal lako?
Hataki kusikia habari za uwoya ni mchungajiEt ephen_ huyu Baba Kisarii ana nn na mchungaji? mbona picha hazina uhusiano wowote na swali lake,
Mimi sijaongelea hizo issue sijui za pastor,kwanza hata sielewi huo upastor unapatikanaje,mimi ni wa upande wa pili ila nikiona mtu amebadilika kutoka kwenye uovu na kuingia kwenye wema,nitamsapoti tu kwa hatua hiyo iliyoichukua.Hilo la kupokelewa na Mungu halina shida, shida ipo kwenye kupokea uchungaji.
Hivi wewe kama wewe una uhakika gani kuwa huyo mshangazi kapewa uchungaji na Mungu?
Mshangazi hakauki social media kila siku kila saa yupo social media, huko ndipo hukutana na Mungu kupewa maelekezo ya kuwa pastor halisi?
Na mafundisho yake ajifundishe mwenyewe
Kwa hiyo hapo ulipo unao uhakika kwamba Irene kabadilika?nikiona mtu amebadilika kutoka kwenye uovu na kuingia kwenye wema,nitamsapoti tu kwa hatua hiyo iliyoichukua.
Hata upwiru ni ubatilikila kitu ni ubatili
Sijaongelea kuhusu watu watakaoenda huko Kanisani ila huenda kuna watu wakamuona amebadilika yeye kama yeye kisha nao wakafuata njia njema aliyoichagua,hayo ya nyuma ya pazia hata wewe huyajui,tumuachie mwenyewe muhusika hayo ya nyuma ya pazia,Sidhani kama umenielewa nimesema jamii, jinsi inavyomuona. Kingine mabadiliko hayaoneshwi kwa watu na sisi hatuwezi jua awazavyo kama kweli amebsdilika au anafanya kuficha uchafu tu ila nyuma ya pazia hakuna lolote. Kikubwa aishi kimya na sio kutafta Kuonekana. Mungu hapendi hayo, emb imagine kati ya watu 10 watakao enda kanisani ni wawili tu ndo watakao kuwa na mentality kama yako, wengine wote lazma ile picha yake ya zamani iwarudie... ndo ile kondoo kala mtumishi ancho kitafta.
Yaani ni kama unaishi ndani ya moyo wangu, hivi umejuaje?Hataki kusikia habari za uwoya ni mchungaji
Kwahiyo wewe hapo ulipo una uhakika kwamba Irene hajabadilika?Kwa hiyo hapo ulipo unao uhakika kwamba Irene kabadilika?
Angekuwa kabadilika angefuta picha zake zote huko mitandaoni zinazochochea ngono.Kwahiyo wewe hapo ulipo una uhakika kwamba Irene hajabadilika?
wivu tu,Hataki kusikia habari za uwoya ni mchungaji
hataki kuwa mnafiki, anataka watu waone alikotoka, alipo na anakotaka kwenda,Angekuwa kabadilika angefuta picha zake zote huko mitandaoni zinazochochea ngono.
Kuna watu kama baba swalehe huwa wanapigia puli hizo picha.
Irene ni yule yule hajabadilika.
Wewe unao uhakika kuwa kabadilika?Kwahiyo wewe hapo ulipo una uhakika kwamba Irene hajabadilika?
Uwe unafuatilia mada kabla ya kuvamia katikati,Wewe unao uhakika kuwa kabadilika?
Mtume Paulo aliyafanya kuwa vinyesi yale mabaya yote yaliyopita.hataki kuwa mnafiki, anataka watu waone alikotoka, alipo na anakotaka kwenda,