Mume wa sasa wa pastor Irene Uwoya ni nani?

Mume wa sasa wa pastor Irene Uwoya ni nani?

Kuna vitu ukoshavifanya duniani vinaharibu reputation yako hata ubadilike vipi tayari jamii ishakuwekea picha flani ambayo mpk unazikwa haitafutika, huyu bora angeendelea na lifestyle yake ya zamani maana ni kama anajikana tu
Unaweza ukawa upo sahihi But kama amebadilika kwa ajili ya Mungu wake basi hata kama atakua hana hiyo reputation kwa watu ila kwa Mungu atapokelewa coz amejirudi,Mungu anampokea kila anayetubia na kubadilika,

Mimi nadhani watu wa aina hii wanahitaji support zaidi kuliko kuwakatisha tamaa.
 
Sidhani kama umenielewa nimesema jamii, jinsi inavyomuona. Kingine mabadiliko hayaoneshwi kwa watu na sisi hatuwezi jua awazavyo kama kweli amebsdilika au anafanya kuficha uchafu tu ila nyuma ya pazia hakuna lolote. Kikubwa aishi kimya na sio kutafta Kuonekana. Mungu hapendi hayo, emb imagine kati ya watu 10 watakao enda kanisani ni wawili tu ndo watakao kuwa na mentality kama yako, wengine wote lazma ile picha yake ya zamani iwarudie... ndo ile kondoo kala mtumishi ancho kitafta.
 
Mungu anampokea kila anayetubia na kubadilika,
Hilo la kupokelewa na Mungu halina shida, shida ipo kwenye kupokea uchungaji.

Hivi wewe kama wewe una uhakika gani kuwa huyo mshangazi kapewa uchungaji na Mungu?

Mshangazi hakauki social media kila siku kila saa yupo social media, huko ndipo hukutana na Mungu kupewa maelekezo ya kuwa pastor halisi?
 
Back
Top Bottom