Mume wa sasa wa pastor Irene Uwoya ni nani?

Nikikumbuka yale manywele yaje ya kule...upako unanipasua kabisaaa...aisee
 
Wakamletea mwanamke mzinzi, Yesu akawaambia, Asiye na dhambi na awe wa kwanza kumpga mawe, "wakatawanyika kama upepo"

Wanao comment kuhusu Uwoya wao wenyewe washafanya uzinzi kupitiliza!
 
Wakamletea mwanamke mzinzi, Yesu akawaambia, Asiye na dhambi na awe wa kwanza kumpga mawe, "wakatawanyika kama upepo"

Wanao comment kuhusu Uwoya wao wenyewe washafanya uzinzi kupitiliza!
Kwa nini umetoka nje ya mada mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…