Mume wa Spika kuwa Bosi wa EWURA haiwazuii wabunge kuisimamia Wizara ya Nishati

Stuka

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
282
Reaction score
906
Kitendo cha MUME wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA haiwazuii wabunge kujadili matatizo yaliyoko kwenye Wizara ya Nishati hasa yatokanayo na mambo ya mafuta eti kwa sababu Spika anamgongano wa kimaslahi na Wizara ya Nishati.

Wabunge mko bungeni kwa ajili ya wananchi sio kwa ajili ya kuilinda familia fulani.. kazi kwenu wananchi wanawatazama.
 
Ndo maana tunataka utawala kimajimbo
 
Nani huyo amemteua mme wa spika kuwa mkurugenzi? Kuna hovyo hovyo ya uteuzi inaendelea.
 
Back
Top Bottom