Mume wa Spika kuwa Bosi wa EWURA haiwazuii wabunge kuisimamia Wizara ya Nishati

Apedomia ni tatizo kubwa

20230527_074708.jpg
 
Huyo aliyemteuwa alitumia akili gani aisee. Mbona hii inchi inaendeshwa kishoga sana siku hizi?!,

Hivi sheria kanuni, miiko na kila aina ya katazo vimeruhusu hili jambo?!

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kitendo cha MUME wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA haiwazuii wabunge kujadili matatizo yaliyoko kwenye Wizara ya Nishati hasa yatokanayo na mambo ya mafuta eti kwa sababu Spika anamgongano wa kimaslahi na Wizara ya Nishati.

Wabunge mko bungeni kwa ajili ya wananchi sio kwa ajili ya kuilinda familia fulani.. kazi kwenu wananchi wanawatazama.
Stuka! Acha upimbi
 
Nchi hii bila connection unaweza kula vumbi miaka 100 bila kutoboa.
 
Kitendo cha MUME wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA haiwazuii wabunge kujadili matatizo yaliyoko kwenye Wizara ya Nishati hasa yatokanayo na mambo ya mafuta eti kwa sababu Spika anamgongano wa kimaslahi na Wizara ya Nishati.

Wabunge mko bungeni kwa ajili ya wananchi sio kwa ajili ya kuilinda familia fulani.. kazi kwenu wananchi wanawatazama.
Mawazo mengine ni kijinga kweli! kwahiyo akiwa mume speaker basi alipaswa akae yumbani? mwazo mepesi sana haya tena ya kijinga
 
Back
Top Bottom