Mume wa Spika kuwa Bosi wa EWURA haiwazuii wabunge kuisimamia Wizara ya Nishati

Mume wa Spika kuwa Bosi wa EWURA haiwazuii wabunge kuisimamia Wizara ya Nishati

Kwa hiyo ukiwa spika mume wako mwenye sifa na vigezo stahiki hatakiwi KUTEULIWA ukurugenzi ?!!!! [emoji15][emoji15]
 
Kabisa, bila kutokea machafuko, au jeshi kupindua serikali tuanze moja, CCM wataendelea kututawala hivi hivi kwa shuruti.
Wapindue wakati wanapewa Land cruiser LC 300 mpya??
 
Kitendo cha MUME wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA haiwazuii wabunge kujadili matatizo yaliyoko kwenye Wizara ya Nishati hasa yatokanayo na mambo ya mafuta eti kwa sababu Spika anamgongano wa kimaslahi na Wizara ya Nishati.

Wabunge mko bungeni kwa ajili ya wananchi sio kwa ajili ya kuilinda familia fulani.. kazi kwenu wananchi wanawatazama.
Kwa busara tu
Aliyefanya huo uteuzi kapungukiwa Hekima na Busara.

HIzi fadhila za uongozi zinapaswa kukoma 2025 kwa sababu hatukuwachagua watu wa kuingiza ukoo na familia kwenye vyombo vya maamuzi. Kimsingi tusipomkosoa Rais kwenye hili tutajikuta waliopo madarakani ndo wamejiweka kwenye mfumo mzima wa maamuzi ya nchi.

Au kwa sababu tulimuapisha bila kupiga Kura? Katiba Mpya iweke kipengele cha makamu kushika kiti kwa siku 100 ili kuandaa uchaguzi wa Kiti cha Rais
 
Back
Top Bottom