Mume wa Spika kuwa Bosi wa EWURA haiwazuii wabunge kuisimamia Wizara ya Nishati

Only in tanzania ndiyo kuna kuteuana kiajabuajabu kiundugu undugu

Ova
 
Kwa hiyo ukiwa spika mume wako mwenye sifa na vigezo stahiki hatakiwi KUTEULIWA ukurugenzi ?!!!! [emoji15][emoji15]
 
Kabisa, bila kutokea machafuko, au jeshi kupindua serikali tuanze moja, CCM wataendelea kututawala hivi hivi kwa shuruti.
Wapindue wakati wanapewa Land cruiser LC 300 mpya??
 
Hata spika ndugai mkewe alikuwa mkurugenzi
 
Kwa busara tu
Aliyefanya huo uteuzi kapungukiwa Hekima na Busara.

HIzi fadhila za uongozi zinapaswa kukoma 2025 kwa sababu hatukuwachagua watu wa kuingiza ukoo na familia kwenye vyombo vya maamuzi. Kimsingi tusipomkosoa Rais kwenye hili tutajikuta waliopo madarakani ndo wamejiweka kwenye mfumo mzima wa maamuzi ya nchi.

Au kwa sababu tulimuapisha bila kupiga Kura? Katiba Mpya iweke kipengele cha makamu kushika kiti kwa siku 100 ili kuandaa uchaguzi wa Kiti cha Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…