Hapa ni Mugumu Serengeti mida hii.In short alipaswa kuaddress tatizo bila kutaja mahusiano yake na bunge. Ukweli mchungu sikonge hakuna mafuta yapata wiki sasa.
Lita moja kwenye kopo wanauza 7500/.
Pia sheli napo mafuta yanauzwa kwenye makopo kutokea ofisini huku pampu zikiwa tupu.
Wivu tu Kwa hiyo kisa mume wa supika awe dereva wa daladala?Habari za usiku, endelea kulala.
Siendekezi uchaga natetea nchi yanguWewe Endekeza Uchaga na Ugalatia mzee iwe ngoma draw
Kilimo hatumtaki huku tu Bashe analeta kingereza je akija na huyo si ataleta kinyakyusa chakeJe, Rostam Aziz kashamuweka Kiganjani?
Tangu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dk James Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akamate kiti hiki, Mafuta yamekuwa ya Tabu sana kupatikana.
Napendekeza aondolewe ili kuokoa taifa sababu Wanasiasa Marafiki zake wamemzidi maarifa.
Ukiacha kuwa mume wa Spika, ni rafiki Mkubwa wa Waziri Makamba. Makamba ni Rafiki wa Rostam. Makamba ni Waziri wa Nishati. Mteule wa Rais.
Tumuweke mtu ambaye sio Mwanasiasa.
Hapokei Ushauri wa watu wa chini wala Maelezo ya Bodi.
Basi kama anaogopwa sababubya Spika, ahamishwe apelekww Kilimo.
EWURA imewekwa mtu kati. Nani atusemee Watanzania mbele ya matajiri hawa?
Sijui kama unajua kinachojadiliwa, nenda kalale tu.Wivu tu Kwa hiyo kisa mume wa supika awe dereva wa daladala?
SawaSijui kama unajua kinachojadiliwa, nenda kalale tu.
Ewura ni dude kubwa mzee, hata rais haliwezi.Je, Rostam Aziz kashamuweka Kiganjani?
Tangu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dk James Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akamate kiti hiki, Mafuta yamekuwa ya Tabu sana kupatikana.
Napendekeza aondolewe ili kuokoa taifa sababu Wanasiasa Marafiki zake wamemzidi maarifa.
Ukiacha kuwa mume wa Spika, ni rafiki Mkubwa wa Waziri Makamba. Makamba ni Rafiki wa Rostam. Makamba ni Waziri wa Nishati. Mteule wa Rais.
Tumuweke mtu ambaye sio Mwanasiasa.
Hapokei Ushauri wa watu wa chini wala Maelezo ya Bodi.
Basi kama anaogopwa sababubya Spika, ahamishwe apelekww Kilimo.
EWURA imewekwa mtu kati. Nani atusemee Watanzania mbele ya matajiri hawa?
Koneksheni imebuma !Je, Rostam Aziz kashamuweka Kiganjani?

Kuanzia kesho petrol ni 3150+Je, Rostam Aziz kashamuweka Kiganjani?
Tangu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dk James Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akamate kiti hiki, Mafuta yamekuwa ya Tabu sana kupatikana.
Napendekeza aondolewe ili kuokoa taifa sababu Wanasiasa Marafiki zake wamemzidi maarifa.
Ukiacha kuwa mume wa Spika, ni rafiki Mkubwa wa Waziri Makamba. Makamba ni Rafiki wa Rostam. Makamba ni Waziri wa Nishati. Mteule wa Rais.
Tumuweke mtu ambaye sio Mwanasiasa.
Hapokei Ushauri wa watu wa chini wala Maelezo ya Bodi.
Basi kama anaogopwa sababubya Spika, ahamishwe apelekww Kilimo.
EWURA imewekwa mtu kati. Nani atusemee Watanzania mbele ya matajiri hawa?
Hivi ameshapata??Eti Spika wa Bunge la mchongo anagombea Urais wa Jumuiya ya Mabunge Duniani,dah![emoji1787][emoji1787]
Ndipo chama kipofikia !/MAMA Spika
Baba EWURA
Yote ulioandika yako sahihi...Tatizo ni Ewura kama uwura!?
au tatizo Dr James Mwainyekule!?
Tatizo ni umume wa spika!?
Tatizo ni Spika!?
Tatizo ni umke wa mkurugenzi!?
Au tatizo ni dada Tulia Jackson!?
Kama vile siielewi maada
na mafuta hakuna - unapigwa mwingiMAMA Spika
Baba EWURA
Conflict of interests by politicians is a revolving life norm (mgongano wa maslahi kwa wanasiasa ndio mfumo wa maisha)Je, Rostam Aziz kashamuweka Kiganjani?