Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Hapa ni Mugumu Serengeti mida hii.In short alipaswa kuaddress tatizo bila kutaja mahusiano yake na bunge. Ukweli mchungu sikonge hakuna mafuta yapata wiki sasa.
Lita moja kwenye kopo wanauza 7500/.
Pia sheli napo mafuta yanauzwa kwenye makopo kutokea ofisini huku pampu zikiwa tupu.