Mume wa Spika Tulia kuwa Mkurugenzi EWURA, ni Mateso kwa taifa, Mafuta hayapatikani

In short alipaswa kuaddress tatizo bila kutaja mahusiano yake na bunge. Ukweli mchungu sikonge hakuna mafuta yapata wiki sasa.
Lita moja kwenye kopo wanauza 7500/.
Pia sheli napo mafuta yanauzwa kwenye makopo kutokea ofisini huku pampu zikiwa tupu.
Hapa ni Mugumu Serengeti mida hii.
 
Kama unatoka Dar unakuja mikoa ya kanda ya ziwa na private car paki mpaka kesho
 
Je, Rostam Aziz kashamuweka Kiganjani?

Tangu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dk James Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akamate kiti hiki, Mafuta yamekuwa ya Tabu sana kupatikana.

Napendekeza aondolewe ili kuokoa taifa sababu Wanasiasa Marafiki zake wamemzidi maarifa.

Ukiacha kuwa mume wa Spika, ni rafiki Mkubwa wa Waziri Makamba. Makamba ni Rafiki wa Rostam. Makamba ni Waziri wa Nishati. Mteule wa Rais.

Tumuweke mtu ambaye sio Mwanasiasa.

Hapokei Ushauri wa watu wa chini wala Maelezo ya Bodi.

Basi kama anaogopwa sababubya Spika, ahamishwe apelekww Kilimo.

EWURA imewekwa mtu kati. Nani atusemee Watanzania mbele ya matajiri hawa?
Kilimo hatumtaki huku tu Bashe analeta kingereza je akija na huyo si ataleta kinyakyusa chake
 
Tulia ni mwanamke wa hovyo kutokea kutoka mbeya sikuja km kile kibibi ni kijinga ivi
 
Kuondoka kwa Magufuri tutaumizwa Sana.
 
Nchi inapigwa kama kimada! watu full kujipakulia uwezavyo.
 
Je, Rostam Aziz kashamuweka Kiganjani?

Tangu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dk James Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akamate kiti hiki, Mafuta yamekuwa ya Tabu sana kupatikana.

Napendekeza aondolewe ili kuokoa taifa sababu Wanasiasa Marafiki zake wamemzidi maarifa.

Ukiacha kuwa mume wa Spika, ni rafiki Mkubwa wa Waziri Makamba. Makamba ni Rafiki wa Rostam. Makamba ni Waziri wa Nishati. Mteule wa Rais.

Tumuweke mtu ambaye sio Mwanasiasa.

Hapokei Ushauri wa watu wa chini wala Maelezo ya Bodi.

Basi kama anaogopwa sababubya Spika, ahamishwe apelekww Kilimo.

EWURA imewekwa mtu kati. Nani atusemee Watanzania mbele ya matajiri hawa?
Ewura ni dude kubwa mzee, hata rais haliwezi.
Hilo dude ni la vigogo wa nchi
 
Je, Rostam Aziz kashamuweka Kiganjani?

Tangu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dk James Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akamate kiti hiki, Mafuta yamekuwa ya Tabu sana kupatikana.

Napendekeza aondolewe ili kuokoa taifa sababu Wanasiasa Marafiki zake wamemzidi maarifa.

Ukiacha kuwa mume wa Spika, ni rafiki Mkubwa wa Waziri Makamba. Makamba ni Rafiki wa Rostam. Makamba ni Waziri wa Nishati. Mteule wa Rais.

Tumuweke mtu ambaye sio Mwanasiasa.

Hapokei Ushauri wa watu wa chini wala Maelezo ya Bodi.

Basi kama anaogopwa sababubya Spika, ahamishwe apelekww Kilimo.

EWURA imewekwa mtu kati. Nani atusemee Watanzania mbele ya matajiri hawa?
Koneksheni imebuma !
 
Kuanzia kesho petrol ni 3150+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari, karibuni katika andiko langu la stories of Change 2023
 
MAMA Spika
Baba EWURA
Ndipo chama kipofikia !/
Wakati wa Mwl.hili lilikuwa gumu kwelikweli aidha likitokea basi uelewe kwenye hiyo post kulikuwa hakuna mbadala wake,
-"Wakati wake ilikuwa ,Baba waziri, basi mama mkulima," alikuwa anatengeneza proportional maalumu,kwa jamii.
 
Tatizo ni Ewura kama uwura!?
au tatizo Dr James Mwainyekule!?
Tatizo ni umume wa spika!?
Tatizo ni Spika!?
Tatizo ni umke wa mkurugenzi!?
Au tatizo ni dada Tulia Jackson!?

Kama vile siielewi maada
Yote ulioandika yako sahihi...
 
Je, Rostam Aziz kashamuweka Kiganjani?

Tangu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dk James Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akamate kiti hiki, Mafuta yamekuwa ya Tabu sana kupatikana.

Napendekeza aondolewe ili kuokoa taifa sababu Wanasiasa Marafiki zake wamemzidi maarifa.

Ukiacha kuwa mume wa Spika, ni rafiki Mkubwa wa Waziri Makamba. Makamba ni Rafiki wa Rostam. Makamba ni Waziri wa Nishati. Mteule wa Rais.

Tumuweke mtu ambaye sio Mwanasiasa.

Hapokei Ushauri wa watu wa chini wala Maelezo ya Bodi.

Basi kama anaogopwa sababubya Spika, ahamishwe apelekww Kilimo.

EWURA imewekwa mtu kati. Nani atusemee Watanzania mbele ya matajiri hawa?
Conflict of interests by politicians is a revolving life norm (mgongano wa maslahi kwa wanasiasa ndio mfumo wa maisha)
 
Back
Top Bottom