cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Nimeshashawishiwa na Aspirin
Na ujiongeze haswa.. ukilemaa tu atadakwa na wengine.. si unajua mwanaume anayeringishiwa ndio huwa kivutio kwa wanawake ili watake kumjua.. kuwa makini atiiii eeeeeeh nakushauri tu
Wivu naona umekujaa jaa siku hizi.. ila mwachie aburudike vizuri jamani.. ni mtandao tu haonani na mtu..