Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwa hii ya huyuuWanasemaga MWANAUME mwenye HAIBA ZA KIUME huwa mtamu zaidi,, kuliko wale wanaume warembo,,, MWANAUME Unapaswa Uwe na sura NGUMU,,,, mikausho mikali kila wakati,,, sio kucheka cheka,, MWANAUME hupaswi Kuwa na haiba za kike,,
Basi angeacha kuvaa miwaniHuyu anajivika kama jambazi
HhhhaaaaDreads hazijamkaa wala nini...
Kwa mashauzi ya Wolper shemela kamkomoa kweli kweli.
Kweli mkuu,, nishawasikia wanawake zaidi ya mmoja,MWANAUME mtamu awe na SURA NGUMU,, KIDEVU KIWE NA MZUZU,, hawapendi DUME linyoe ndevu,, mustache.. Awe hana chochote usoni,, NDY siri ya vijana Wengi wa sasa wa KIUME kufuga KIDEVU CHENYE MZUZU... Hyo ni proved 100%Sio kwa hii ya huyuu
Ukitaka MWANAUME wa showoff utamwona hafai,, ila ukitaka raha za ndani,, na UJIHISI upo na REALLY MWANAUME chukuwa sura NGUMU,, Hata Huyo uwoya alishasikika akiongea live,, anapenda sura NGUMU..Huyu anajivika kama jambazi
Kwani miwani anapanda nayo kitandani?Basi angeacha kuvaa miwani
Mi wanaume wenye sura ngumu hivi hapana ,,sifurahiagi kiukweliiKweli mkuu,, nishawasikia wanawake zaidi ya mmoja,MWANAUME mtamu awe na SURA NGUMU,, KIDEVU KIWE NA MZUZU,, hawapendi DUME linyoe ndevu,, mustache.. Awe hana chochote usoni,, NDY siri ya vijana Wengi wa sasa wa KIUME kufuga KIDEVU CHENYE MZUZU... Hyo ni proved 100%
[emoji116] [emoji116]
Dogo janja ni kweliKiki hizi,wolper kalipwa hela nying amtoe jamaa,hata dogo janja pia nae kiki tuu,ndoa ya ukwel ni ya shish beibe
Anamuiabisha mtaani,,kuna sura za miwani wewe,,mtu anavaa miwan unamtamaniiKwani miwani anapanda nayo kitandani?
Hao huwa wanaropoka tu.Ukifanya utafiti hizo sura ngumu wanazikwepa na wamedate nao mara chache tuUkitaka MWANAUME wa showoff utamwona hafai,, ila ukitaka raha za ndani,, na UJIHISI upo na REALLY MWANAUME chukuwa sura NGUMU,, Hata Huyo uwoya alishasikika akiongea live,, anapenda sura NGUMU..
Hahaha huyu anakula peke ake[emoji23][emoji23]lakin wabongo walivyo wafukunyuku watamnyakua tu ili wagundue wolper amependea nini hapaWolper awe na amani, kuibiwa hapa si rahisi
Ana hamu sana na ndoa ndio maanaAache utoto sasa wa kuanika maisha yake
Anataka kuwakomoa haters matokeo yake atajikomoa mwenyewe
Tena dogo janja ana sura nzuri kweli na ukuni wa ukweliiiHao huwa wanaropoka tu.Ukifanya utafiti hizo sura ngumu wanazikwepa na wamedate nao mara chache tu
Haya Hivi Dogo Janja ni sura ngumu?