Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Nasubiria kwa hamu halaf huyu bwana harusi mbona havui miwani,yaan akivaa miwani anakua kama jambazi,,miwani sio ya kila mtu jamaniItafungwa soon!
Tutakoma kuringa!
Miss you
Miss you too
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiria kwa hamu halaf huyu bwana harusi mbona havui miwani,yaan akivaa miwani anakua kama jambazi,,miwani sio ya kila mtu jamaniItafungwa soon!
Tutakoma kuringa!
Miss you
Hehehe kuzurura tumwachie nani na umbea hao wanaume watatufukuzaTujitahidi mwaka huu japo tuolewe mitara basi.
Yaan sipati huyo kaka akiwa anakojoa sura inavyokuwa jamani @sait ivugaHizo dread wolper atakuwa anazichezea mpaka mzee anasinzia!
Hahahaha rangi ya mama itambeba Alf mama stylish lazm mtot ataonekana cute tu ata afanane na baba ake[emoji1] [emoji1]Duh!! Maombi yangu kama wakibahatika kubebeshana mimba mtoto asifanane na baba yake tu....!!!
Dah hivi wolper ndio alikua akimchamba marehemu Ndikumana ana sura mbaya.....
Hahaha wee mi navyopenda ukuni itabdi uwe unahamia kitandani tunapiga 3some,,zikiongezeka na zako atajutaaa atajua ule msemo mwanaume mashine au laaaaTuolewe tuheshimike!
Mimi lazima niolewe mitara na wewe ndoa itadumu.
Akizingua tunamchangia.
Akikojoa sura itakavyojikunja yaillah sipati pichaaAtakuwa ana pesa.
Sura hata mbuzi anayo
Weee akiwa na kasura kazuri halaf na mwanya weee utafyrahia,,sasa huyu sijui tumuombee wolpaKwani wakaka wakiwa wanakojoa wanakunja sura?
Hamna bwana ukiwa na pesa hukunji
Dah na anapataga wenye sura za kimakon....Nafikiri alikuwa ameusahau ule msemo kuwa usitukane mamba...
Aliwahi kumsema Ndikumana ana sura mbaya...hii ya huyu bolo yang ni kama anaugulia maumivuWeee akiwa na kasura kazuri halaf na mwanya weee utafyrahia,,sasa huyu sijui tumuombee wolpa
Hahahaha ntakua nakuonea huruma nakuachiaAlafu utakuwa unanionea wewe,utakuwa unanisukumia mbali.
Ngoja tusubiriee,ndiku na huyu si bora ndikuAliwahi kumsema Ndikumana ana sura mbaya...hii ya huyu bolo yang ni kama anaugulia maumivu
Ameshangilia mahari hajuagi huwaga wanakata kona hao!
Tatizo kila kitu anadolishia kama mshamba fulani.