Mume wa Wolper

Na pia kuna wanaume sura mbayaa lakin hovyo kitandani wana vibamiaa vya kutosha
 
Ukimjua huyo kaka utabaki kucheka tu!, miaka ya zamani alikuwa anajiita Sailas siku hizi Engine (hizi kick zitaua watu)
Ndiye Engine mwanamziki Chipukizi?
Hapa atafaidi connections,pesa,mahaba kila kitu.
 
Nimemmiss sana na lile tusi lake moja "mbwa wewe" ha ha ha
Hahhaha ,,,halaf anaanza na kukusimulia binam hapa nilipopanga wanataka kunifukuza maana nimechinganisha nyumba nzima,,zijui ntahama nyumba ngapi
 
Kuna wanaume wagumu na sura zinavutia pia
Huyo wangu mi ni the best,,kila kitu anacho
 
Nani ana haiba za kishoga?
Brown
Mwanamme anapiga piga mapicha na kujiremba ovyo.
Yani anashinda Gym na kutinda nyusi awanase wanawake wenye pesa .
Mwanamme mdangaji simpendi kabisa.
Wanatutesa kimapenzi na pesa wanataka shenze.Afanye kazi aache umariyoo
 
Brown
Mwanamme anapiga piga mapicha na kujiremba ovyo.
Yani anashinda Gym na kutinda nyusi awanase wanawake wenye pesa .
Mwanamme mdangaji simpendi kabisa.
Wanatutesa kimapenzi na pesa wanataka shenze.Afanye kazi aache umariyoo
Weweee anashinda gym??
 
Weweee anashinda gym??
Kah!
Akiona mwanamke anaanza kujiramba ramba.Alafu mtu anajiramba sana anaacha mimate ikikauka huwa inanuka.
Na hivi hawatumii mouth wash hadi wazikute kwa wanawake.
Sipendi Mariyoo
 
Kah!
Akiona mwanamke anaanza kujiramba ramba.Alafu mtu anajiramba sana anaacha mimate ikikauka huwa inanuka.
Na hivi hawatumii mouth wash hadi wazikute kwa wanawake.
Sipendi Mariyoo
Hahahaahahah
 
Mkuu,, hujanielewa,, Kuwa na sura NGUMU,, haimaanishi Una sura mbaya,, nazungumzia kuna wanaume wanakuwa wazuri km wanawake,, kucheka Cheka hovyo,,pasi na sababu,,, wapo laini kwenye kutembea hata kuzungumza,, mwanaume unapaswa unakuwa na sauti ZITO hata ukiongea wanajuwa DUME LIPO NDANI,,, na sura NGUMU,,, wale wanaume warembo sana hawana zile haiba za KIUME,,, wao ni wazuri wa sura,,, wanawake wanavutiwa na sura zao,,, hawana kitu wale,, unaweza ukasema ni watamu sababu ya uwezo wako kufikia hapo mkuu,,, ni sawa na ule MSEMO WA KIPOFU kaona mwezi,, kila anachokiona anaona kikubwa Kama mwezi,, na kizuri Kama mwezi,,, sababu hajaona vingine zaidi ya mwezi,,, jaribu sura NGUMU mkuu kwnz,, halafu Nipe marejesho Hata kwa PM..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…