Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na pia kuna wanaume sura mbayaa lakin hovyo kitandani wana vibamiaa vya kutoshaKaka,hatumlaumu huyo jamaa kwa kuwa na sura ngumu hata kidogo!
Nakwambia hapa hapa Tanzania,kuna wanaume wana sura nzuri tu,wapo vizuri kitandani,wana pesa za kutosha na maumbile 'ya haja' tu.
Sio lazima unyimwe,kun wanaume ni Full package japo ni wachache.
Hata wanawake wapo pia.
AhhaahahhaahMaumivu huyapati tu kwa sababu umekuwa na mwanamme ana mwonekano mzuri!
Tena mwanamme mwenye sura ngumu hata Roho yake huwa kama sura yake[emoji6] .
Nimemmiss sana na lile tusi lake moja "mbwa wewe" ha ha haHujammiss warumi chaumbea
Kila anapoenda lazima avuruge watuu kwa umbea ,,eti siri zake mwenyewe kashindwa kutunza za kwako ndio atawezaa
Nani ana haiba za kishoga?Ana haiba ya kishoga.Simtaki wa vile
Awatake radhi kabisaa!
Hahhaha ,,,halaf anaanza na kukusimulia binam hapa nilipopanga wanataka kunifukuza maana nimechinganisha nyumba nzima,,zijui ntahama nyumba ngapiNimemmiss sana na lile tusi lake moja "mbwa wewe" ha ha ha
Kuna wanaume wagumu na sura zinavutia piaNdy maana kuna GOOD,, BETTER,, BEST.. huenda hao sura nzr wakawa GOOD,, lakini sura NGUMU ni the BEST mkuu,, jaribu.... Mimi mwenyewe Nina sura NGUMU,, MZUZU kidogo.na mikausho mikali.. .. nikisema sura NGUMU sio MWANAUME mchafu,,,,au sura mbaya.. Anakuwa ni MWANAUME gentleman,, marashi ya bei,, unatupia vitu vya ki gentleman,, miwani,, unatembea kwa steps KALI,, halafu mikausho,, aisee,, ukikutana na mwanamke kila ukimwangalia lazima atafune kucha,, na unaweza ukamtongoza kwa ishara tu bila kuongea neno,, atakufata...
BrownNani ana haiba za kishoga?
Weweee anashinda gym??Brown
Mwanamme anapiga piga mapicha na kujiremba ovyo.
Yani anashinda Gym na kutinda nyusi awanase wanawake wenye pesa .
Mwanamme mdangaji simpendi kabisa.
Wanatutesa kimapenzi na pesa wanataka shenze.Afanye kazi aache umariyoo
Baeleze baelewe
Simtaki huyoView attachment 680526 na huyu unamtaka??
HahahaahahahKah!
Akiona mwanamke anaanza kujiramba ramba.Alafu mtu anajiramba sana anaacha mimate ikikauka huwa inanuka.
Na hivi hawatumii mouth wash hadi wazikute kwa wanawake.
Sipendi Mariyoo
Mkuu,, hujanielewa,, Kuwa na sura NGUMU,, haimaanishi Una sura mbaya,, nazungumzia kuna wanaume wanakuwa wazuri km wanawake,, kucheka Cheka hovyo,,pasi na sababu,,, wapo laini kwenye kutembea hata kuzungumza,, mwanaume unapaswa unakuwa na sauti ZITO hata ukiongea wanajuwa DUME LIPO NDANI,,, na sura NGUMU,,, wale wanaume warembo sana hawana zile haiba za KIUME,,, wao ni wazuri wa sura,,, wanawake wanavutiwa na sura zao,,, hawana kitu wale,, unaweza ukasema ni watamu sababu ya uwezo wako kufikia hapo mkuu,,, ni sawa na ule MSEMO WA KIPOFU kaona mwezi,, kila anachokiona anaona kikubwa Kama mwezi,, na kizuri Kama mwezi,,, sababu hajaona vingine zaidi ya mwezi,,, jaribu sura NGUMU mkuu kwnz,, halafu Nipe marejesho Hata kwa PM..Kaka,hatumlaumu huyo jamaa kwa kuwa na sura ngumu hata kidogo!
Nakwambia hapa hapa Tanzania,kuna wanaume wana sura nzuri tu,wapo vizuri kitandani,wana pesa za kutosha na maumbile 'ya haja' tu.
Sio lazima unyimwe,kun wanaume ni Full package japo ni wachache.
Hata wanawake wapo pia.
Bora aiseeeSimtaki huyo
Sijui msomali!
😀😀😀😀Hahhaha ,,,halaf anaanza na kukusimulia binam hapa nilipopanga wanataka kunifukuza maana nimechinganisha nyumba nzima,,zijui ntahama nyumba ngapi