Mume wa Zari wa zamani adai Latifah ni mwanae

Mume wa Zari wa zamani adai Latifah ni mwanae

Diamond kakutana zari miaka zaidi ya miwili akiwa kaachana na mume wake akawa na mpenzi uganga akaachana nae ndipo akakutana diamond sasa mume huyu anaedai mtoto wake ana akili kweli
 
Naomba a nijibiwe haya
1.zari na huyo jamaa walipeana talaka lini??
2.Kama hawajpena sheria anasemaje kuhusu kutembea na mke wa mtu?
3D ni Islam...je na yeye dini yake anasemaje kuhusu kutembea na mke mtu???
4.Kama zari hakupewa talaka basi technically kisheria mtoto ni wa mume wake coz bado yuko ndoani
mtoto ni wa ivan si zari alikuwa anaenda analala huko hata wiki na jamaa akienda kwa watoto wake
 
Diamond kakutana zari miaka zaidi ya miwili akiwa kaachana na mume wake akawa na mpenzi uganga akaachana nae ndipo akakutana diamond sasa mume huyu anaedai mtoto wake ana akili kweli
inawezekana ikawa kweli ni wako coz anaendaga mara kwa mara huko kwa ivan kutembea
 
Kwajinsi hili picha lilivyoanza Lazima D.N.A ihusike ili tumjue staring na kaka jambazi..me yangu macho kutazama episode zotee..!!?
 
Huyu nae ---- na kitambi chake. Demu uachane nae na watu wengine wanabandua akipita mimba mtoto awe wako, kama sio uhanithi kitu gani? Inawekana hata wale watoto wengine mimba ajatia yeye.
Hii vita ya wakubwa,we wahusika vipi Kuwa shuhuda nadhani yatosha kwako,mana unaandika kwa hisia..calm down..?!
 
Kwa mambo hayo na mengine ndo mana MTOTO WA DIAMOND NI MTOTO MAARUFU KULIKO WATOTO WOTE WALIOZALIWA TZ NA A. MASHARIKI KWA UJUMLA NA NDIO 7BU YA KULAMBA MILIONI 50 NA KUVALISHWA BURE MWAKA MZIMA. KITU AMBACHO WANAMUZIKI WENGI WAMEPITA HAWAJAWAHI KUPATA HADHI HII.
 
Kwani Zari Alipewa Talaka Na Mumewe.?!
Kama Jibu Ni Hapana.Basi Definitely Domo Anakesi Ya Kujibu Kwa Kukubali Kuishi Na Mke Wa Mtu Kinyumba.Na Mbaya Zaidi Kudai Hadharani Kua Amempa Ujauzito.
Huyu Domo Ni Mburula Sana.Ni Kama Vile Anatumiaga Masabuli Kufikiri Na Kufanya Maamuzi Yake.

Kiafrika hawezi lima shamba la Mtu ukadai mavuno
 
kua msanii ni shida!!!!.ila kitanda hakizai haramu
 
jamani ndo maana bongo inaburuzwa kiuchumi duniani! watu wake wanafikiria majungu badala ya kufikiri maendeleo.
 
Umbea umbea , tumefikishwa. Hatuna kazi za kufanya!
 
hiyo ndoa uliwafungisha lini?
Povu la nini sasa? Ukisoma nilichoandika wapi pameonyesha nina wivu? Ukiona unawashwa sana nauza mahindi ya kuchoma kuna magunzi ya kutosha.

Ha ha ha ha ha mbavu zangu jaman
 
Back
Top Bottom