Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtoto ni wa ivan si zari alikuwa anaenda analala huko hata wiki na jamaa akienda kwa watoto wakeNaomba a nijibiwe haya
1.zari na huyo jamaa walipeana talaka lini??
2.Kama hawajpena sheria anasemaje kuhusu kutembea na mke wa mtu?
3D ni Islam...je na yeye dini yake anasemaje kuhusu kutembea na mke mtu???
4.Kama zari hakupewa talaka basi technically kisheria mtoto ni wa mume wake coz bado yuko ndoani
inawezekana ikawa kweli ni wako coz anaendaga mara kwa mara huko kwa ivan kutembeaDiamond kakutana zari miaka zaidi ya miwili akiwa kaachana na mume wake akawa na mpenzi uganga akaachana nae ndipo akakutana diamond sasa mume huyu anaedai mtoto wake ana akili kweli
Hii vita ya wakubwa,we wahusika vipi Kuwa shuhuda nadhani yatosha kwako,mana unaandika kwa hisia..calm down..?!Huyu nae ---- na kitambi chake. Demu uachane nae na watu wengine wanabandua akipita mimba mtoto awe wako, kama sio uhanithi kitu gani? Inawekana hata wale watoto wengine mimba ajatia yeye.
kesi ipo mahakama ya kisutu,so tumuachie ngoswe yaliyoyakee ngosweinawezekana ikawa kweli ni wako coz anaendaga mara kwa mara huko kwa ivan kutembea
Kwani Zari Alipewa Talaka Na Mumewe.?!
Kama Jibu Ni Hapana.Basi Definitely Domo Anakesi Ya Kujibu Kwa Kukubali Kuishi Na Mke Wa Mtu Kinyumba.Na Mbaya Zaidi Kudai Hadharani Kua Amempa Ujauzito.
Huyu Domo Ni Mburula Sana.Ni Kama Vile Anatumiaga Masabuli Kufikiri Na Kufanya Maamuzi Yake.
Hii vita ya wakubwa,we wahusika vipi Kuwa shuhuda nadhani yatosha kwako,mana unaandika kwa hisia..calm down..?!
hiyo ndoa uliwafungisha lini?
Povu la nini sasa? Ukisoma nilichoandika wapi pameonyesha nina wivu? Ukiona unawashwa sana nauza mahindi ya kuchoma kuna magunzi ya kutosha.
Utadhani ulipewa mwaliko ukashika na mguumtoto ni wa ivan si zari alikuwa anaenda analala huko hata wiki na jamaa akienda kwa watoto wake