pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
hii kali hii duukuna tetesi pia mtoto ni wa Ali Kiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii kali hii duukuna tetesi pia mtoto ni wa Ali Kiba
Kwani Zari Alipewa Talaka Na Mumewe.?!
Kama Jibu Ni Hapana.Basi Definitely Domo Anakesi Ya Kujibu Kwa Kukubali Kuishi Na Mke Wa Mtu Kinyumba.Na Mbaya Zaidi Kudai Hadharani Kua Amempa Ujauzito.
Huyu Domo Ni Mburula Sana.Ni Kama Vile Anatumiaga Masabuli Kufikiri Na Kufanya Maamuzi Yake.
Mbona aliyeposti sio ex-mume wa Zari?
Tunasubiria sheria ianze tarehe 1.
Naomba a nijibiwe haya
1.zari na huyo jamaa walipeana talaka lini??
2.Kama hawajpena sheria anasemaje kuhusu kutembea na mke wa mtu?
3D ni Islam...je na yeye dini yake anasemaje kuhusu kutembea na mke mtu???
4.Kama zari hakupewa talaka basi technically kisheria mtoto ni wa mume wake coz bado yuko ndoani
Zari alipewa talaka looong before kukutana na dai,niliangalia show ya mwisho ya the sporah show aliyofanya na zari kabla hata hajakutana na dai,sema hawana uswahili wanakutana mara kwa mara sababu ya watoto wao nenda you tube kaitafute hyo interview utaipata
inawezekana ikawa kweli ni wako coz anaendaga mara kwa mara huko kwa ivan kutembea
These famous people of Africa they take ugaibuni life na kuamua kuiga, mfano wakisikia Tiger wood kaachwa na mkewe kesho hapa napo unasikia nimenuka!.
Naomba a nijibiwe haya
1.zari na huyo jamaa walipeana talaka lini??
2.Kama hawajpena sheria anasemaje kuhusu kutembea na mke wa mtu?
3D ni Islam...je na yeye dini yake anasemaje kuhusu kutembea na mke mtu???
4.Kama zari hakupewa talaka basi technically kisheria mtoto ni wa mume wake coz bado yuko ndoani
Sheria za kuhusu mke zipo nyingi ndugu,Usijidanganye heti umeoa ukaondoka na ukatokomea mwaka bila matunzo na huduma kwa huyo unayemuhita mke ,ukarudi utegemee Sheria itakuwa upande wako ,sahauuuuuu..,na mtoto pia , kama wewe unakimbia mtoto au mimba basi sheria uchukua mkondo ,na mtoto kupewa mtu mwengine mwenye. Kuhitaji ,,nafikiri umeyaona kwa wakina Madonna,Brad Pitt na wengine wana Watoto ambao awakuwazaa wao hila kisheria wao utambulika ndio wazazi
Ndio tunasema tunasubiri akuekue kidogo ili kama mdomo wake utakuwa kama wa mamba basi ujue ni wa ndomo au lah basi atakuwa si wake. Umeelewa?
Mimi huwa najiuliza kitu kimoja. Hivi kijana mzima na akili zako unazaa na mmama mwenye watoto zaidi ya wawili. Je utamuoa? mtaishi kivipi? malezi ya mwanao yatakuwaje? Isitoshe ni mke wa mtu. Nimefikiria hili endapo mtoto ni wa domo. If not filamu itakuwa tamu zaidi
Naomba a nijibiwe haya
1.zari na huyo jamaa walipeana talaka lini??
2.Kama hawajpena sheria anasemaje kuhusu kutembea na mke wa mtu?
3D ni Islam...je na yeye dini yake anasemaje kuhusu kutembea na mke mtu???
4.Kama zari hakupewa talaka basi technically kisheria mtoto ni wa mume wake coz bado yuko ndoani
Acheni ujinga mtoto ameonekana na ni copyright na diomond.kaleni ndimu