Mume wa Zari wa zamani adai Latifah ni mwanae

Mume wa Zari wa zamani adai Latifah ni mwanae

These famous people of Africa they take ugaibuni life na kuamua kuiga, mfano wakisikia Tiger wood kaachwa na mkewe kesho hapa napo unasikia nimenuka!.
 
Kwani Zari Alipewa Talaka Na Mumewe.?!
Kama Jibu Ni Hapana.Basi Definitely Domo Anakesi Ya Kujibu Kwa Kukubali Kuishi Na Mke Wa Mtu Kinyumba.Na Mbaya Zaidi Kudai Hadharani Kua Amempa Ujauzito.
Huyu Domo Ni Mburula Sana.Ni Kama Vile Anatumiaga Masabuli Kufikiri Na Kufanya Maamuzi Yake.

there was no formal marriage between the two.. wacha domo ajichukulie mwana...
 
Naomba a nijibiwe haya
1.zari na huyo jamaa walipeana talaka lini??
2.Kama hawajpena sheria anasemaje kuhusu kutembea na mke wa mtu?
3D ni Islam...je na yeye dini yake anasemaje kuhusu kutembea na mke mtu???
4.Kama zari hakupewa talaka basi technically kisheria mtoto ni wa mume wake coz bado yuko ndoani

Kumbe kisheria!
 
Zari alipewa talaka looong before kukutana na dai,niliangalia show ya mwisho ya the sporah show aliyofanya na zari kabla hata hajakutana na dai,sema hawana uswahili wanakutana mara kwa mara sababu ya watoto wao nenda you tube kaitafute hyo interview utaipata

Shiiiiiiiii usingewaambia waendelee kutokwa povu hahhaha.
 
Naomba a nijibiwe haya
1.zari na huyo jamaa walipeana talaka lini??
2.Kama hawajpena sheria anasemaje kuhusu kutembea na mke wa mtu?
3D ni Islam...je na yeye dini yake anasemaje kuhusu kutembea na mke mtu???
4.Kama zari hakupewa talaka basi technically kisheria mtoto ni wa mume wake coz bado yuko ndoani

Sheria za kuhusu mke zipo nyingi ndugu,Usijidanganye heti umeoa ukaondoka na ukatokomea mwaka bila matunzo na huduma kwa huyo unayemuhita mke ,ukarudi utegemee Sheria itakuwa upande wako ,sahauuuuuu..,na mtoto pia , kama wewe unakimbia mtoto au mimba basi sheria uchukua mkondo ,na mtoto kupewa mtu mwengine mwenye. Kuhitaji ,,nafikiri umeyaona kwa wakina Madonna,Brad Pitt na wengine wana Watoto ambao awakuwazaa wao hila kisheria wao utambulika ndio wazazi
 
Jamani Dunia ya sasa hayo mambo ya mtoto wa Diamond mara Sio wake mbona tunakosa maadili,Kuna vipimo wataenda watapima watapata jibu,pili kumbukeni Duniani hakuna Mama wa uongo,maana mama mjamzito uonekana kwamba tumbo lake ndani kuna kiumbe,na siku atakayo jifungua waliomuhudumia watakuwa mashahidi tosha kwamba mtoto aliyemzaa ndio wake,,Tukija kwa Baba hayo sasa ndio uleta utata,,maana aijulikani huyo Zari kalala na nani ,uenda alilala na huyo mume wake asubuhi Jioni yake nayo Rais wa Wasafi akamalizia,ndio lunakuja hapo sasa ,Hakuna mama wa kusingiziwa hila Mababa wa kusingiziwa tupo wengiiiiiii,,,
 
Sheria za kuhusu mke zipo nyingi ndugu,Usijidanganye heti umeoa ukaondoka na ukatokomea mwaka bila matunzo na huduma kwa huyo unayemuhita mke ,ukarudi utegemee Sheria itakuwa upande wako ,sahauuuuuu..,na mtoto pia , kama wewe unakimbia mtoto au mimba basi sheria uchukua mkondo ,na mtoto kupewa mtu mwengine mwenye. Kuhitaji ,,nafikiri umeyaona kwa wakina Madonna,Brad Pitt na wengine wana Watoto ambao awakuwazaa wao hila kisheria wao utambulika ndio wazazi

Kaka unaongelea adoptions ambaye ni halal Kisheria ...lakini kwa taratibu za kawaida huwezi kuzaa na mke wa Mtu Tena hajaachika ...na ukasema hadharani kuwa mtoto ni wako ...Huo ni mmomonyoko wa maadili ..na unaweza kupigwa hata faini
Kimsingi katika Hali ya kisasa waje wanasheria nao watuambie
 
Ni ubwege kudai eti huyu ni mwanangu na huyu ni mke wangu huku ukiacha huyo unayesema ni mkeo akihamia kwa mwanaume mwingine huku akimgegeda kila siku. Kinachomsumbua ex-mume wa Zari ni wivu na si kitu kingine. Wanaume wengi wenye hela hupenda kuwaona watalaka wao wakipata shida katika maisha. Sasa hili suala linamsumbua sana Ivan na hasa huyo shemeji yake King Lawrency, anaona kama Zari kawafanyia dharau kwa kitendo chake cha kutembea na Diamond.
 
Ndio tunasema tunasubiri akuekue kidogo ili kama mdomo wake utakuwa kama wa mamba basi ujue ni wa ndomo au lah basi atakuwa si wake. Umeelewa?

Hahahaaaaa uwiiiiii! Watu mna balaa nyie?
 
Mimi huwa najiuliza kitu kimoja. Hivi kijana mzima na akili zako unazaa na mmama mwenye watoto zaidi ya wawili. Je utamuoa? mtaishi kivipi? malezi ya mwanao yatakuwaje? Isitoshe ni mke wa mtu. Nimefikiria hili endapo mtoto ni wa domo. If not filamu itakuwa tamu zaidi

Kupanga ni kuchagua na kumbuka
Mapenzi ni feelings so usimjudge diamond maana hakuna sehem imeandikwa ni dhambi kuoa mwanamke aliyekuwa na watt 2fikie mahali 2ongee vitu vya maana coz maisha yake hayakupi ww kula hata ukisema mpka mwaka kesho
 
Naomba a nijibiwe haya
1.zari na huyo jamaa walipeana talaka lini??
2.Kama hawajpena sheria anasemaje kuhusu kutembea na mke wa mtu?
3D ni Islam...je na yeye dini yake anasemaje kuhusu kutembea na mke mtu???
4.Kama zari hakupewa talaka basi technically kisheria mtoto ni wa mume wake coz bado yuko ndoani

Unamaanisha kitandani hakizai haramu.
 
Back
Top Bottom