Mume wa Zari wa zamani adai Latifah ni mwanae


Kumbuka Kama Ivan alikua haajampa Zaria Talaka ...Ana haki ya kusema mtoto wake ..kazaliwa Ndani ya Ndoa.....mwanamume ukitoka kuzaaa na mwanamke lazima ujiridhishe sio mke wa Mtu
 
Apewe talaka kwa ndoa gani aliyofunga na Ivan? Jifunze kutofautisha kati ya kuwa wazazi na wanandoa! Wangekuwa wanandoa ungeona wanaongelea masuala ya divorce ila kwavile ni wazazi wa watoto wa watatu ndiomaana imebakia issue ya parenting role na business partners kiu zao zingine wana uhuru wa kuzitiii kwa kadri na uwezo walionao! Acha dangote afaidi mautamu kama unaona rahisi wewe nenda kamuimbie madam ritha uone kama utakubaliwa.....exclusives only n levels baby levels....in divas voice!
 
Namba 4.
Inamaana ukimpa mimba mke wa mtu yule mtoto anahesabika ni wa mume na sio wa mwanaume aliyetia mimba?
 
Hivi huyo mtoto lazima awe na domo kama la Chibu? vipi akiwa na domo la Zari halafu akawa na vitu vingine kama macho, pua na vidole vya Chibu? Itakuwa haijathibiti kuwa ni mtoto wa Chibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…