Mume wa Zari wa zamani adai Latifah ni mwanae

Mume wa Zari wa zamani adai Latifah ni mwanae

Ni ubwege kudai eti huyu ni mwanangu na huyu ni mke wangu huku ukiacha huyo unayesema ni mkeo akihamia kwa mwanaume mwingine huku akimgegeda kila siku. Kinachomsumbua ex-mume wa Zari ni wivu na si kitu kingine. Wanaume wengi wenye hela hupenda kuwaona watalaka wao wakipata shida katika maisha. Sasa hili suala linamsumbua sana Ivan na hasa huyo shemeji yake King Lawrency, anaona kama Zari kawafanyia dharau kwa kitendo chake cha kutembea na Diamond.

Kumbuka Kama Ivan alikua haajampa Zaria Talaka ...Ana haki ya kusema mtoto wake ..kazaliwa Ndani ya Ndoa.....mwanamume ukitoka kuzaaa na mwanamke lazima ujiridhishe sio mke wa Mtu
 
Apewe talaka kwa ndoa gani aliyofunga na Ivan? Jifunze kutofautisha kati ya kuwa wazazi na wanandoa! Wangekuwa wanandoa ungeona wanaongelea masuala ya divorce ila kwavile ni wazazi wa watoto wa watatu ndiomaana imebakia issue ya parenting role na business partners kiu zao zingine wana uhuru wa kuzitiii kwa kadri na uwezo walionao! Acha dangote afaidi mautamu kama unaona rahisi wewe nenda kamuimbie madam ritha uone kama utakubaliwa.....exclusives only n levels baby levels....in divas voice!
 
Naomba a nijibiwe haya
1.zari na huyo jamaa walipeana talaka lini??
2.Kama hawajpena sheria anasemaje kuhusu kutembea na mke wa mtu?
3D ni Islam...je na yeye dini yake anasemaje kuhusu kutembea na mke mtu???
4.Kama zari hakupewa talaka basi technically kisheria mtoto ni wa mume wake coz bado yuko ndoani
Namba 4.
Inamaana ukimpa mimba mke wa mtu yule mtoto anahesabika ni wa mume na sio wa mwanaume aliyetia mimba?
 
Hivi huyo mtoto lazima awe na domo kama la Chibu? vipi akiwa na domo la Zari halafu akawa na vitu vingine kama macho, pua na vidole vya Chibu? Itakuwa haijathibiti kuwa ni mtoto wa Chibu?
 
Back
Top Bottom