Mume wake ni mtu wa kusafiri

Engager

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
1,522
Reaction score
3,255
Nimekaa nikatafakari. Sisi wanaume ambao harakati zetu za kupata mkate wa kila siku zinahusisha kusafiri safiri, tunachapiwa sana wake zetu.

Nimesoma nyuzi nyingi sana hapa JF vijana wakieleza ilikuwaje wakatembea na mke wa mtu, hichi kipengele cha 'mumewe ni mtu wa kusafiri sana' kimetajwa mara nyungi mno.

Haya, endeleeni kutuchapia tukisafiri. Ila siku nikukufuma tutayagawana tuu majengo ya serikali. Mara maana hakuna namna.
 
Kwa mke Kama yule hata ukihama utamkuta Kama alivyo maana anamsimamo sana.wanaochapiwa wanawake ndio chanzo maana wanajirahisi na kujitegesha mno.
 

Wengi ni waongo, wanaeleza vitu ambavyo havipo
 
Mwanamke akiwa kiruka njia, hata kama husafiri popote ataigawa tu !! Ni kama mwizi !! Akikuta hata elfu moja mahali "atailia timing" ili aiibe
 
Utafanya watu wasafiri na wake zao
 
Mi wangu kaniambia kusafiri mwisho siku mbili ya tatu ananifata nilipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…