Engager
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 1,522
- 3,255
Nimekaa nikatafakari. Sisi wanaume ambao harakati zetu za kupata mkate wa kila siku zinahusisha kusafiri safiri, tunachapiwa sana wake zetu.
Nimesoma nyuzi nyingi sana hapa JF vijana wakieleza ilikuwaje wakatembea na mke wa mtu, hichi kipengele cha 'mumewe ni mtu wa kusafiri sana' kimetajwa mara nyungi mno.
Haya, endeleeni kutuchapia tukisafiri. Ila siku nikukufuma tutayagawana tuu majengo ya serikali. Mara maana hakuna namna.