Mume wangu alishinda tuzo ya JF, karudi nyumbani na tuchips hatufiki hata kumi, na kamshikaki kamoja

Mume wangu alishinda tuzo ya JF, karudi nyumbani na tuchips hatufiki hata kumi, na kamshikaki kamoja

Yaani tangu alipoondoka saa 12 asubuhi kufuata zawadi yake ndio anaingia ndani muda huu, kalewa pomoni, anasema huko waliitiwa kula na kunywa.

Lakini jirani yetu hapa naye alishinda hizo tuzo, naona karudi na mazaga kibao, na pilau naisikia ikinukia.

Kweli mambo ya JF ni makubwa mno, hata tu kwa kiumbe huyu kurudi akiwa tilàlila inaonekana kweli mmewajaza mambo mambo mazuri. Shukrani na pongezi kwenu, tukiachana na huyu kiumbe wangu mtata.
Nifuste inbox nitakujari
 
Nipo hapa bro .. Ukapotelea wapi? Niliona mkono tuu [emoji23]

Usiposhukuru kwa kidogo basi hata ukipewa kikubwa huwezi kusema asante!
Niliingia Migombani Street Mikocheni, nilikuwa nina assignment. Nilikucheki mida ya saa kumi, simu yako ilikuwa busy.
 
Back
Top Bottom