Akikusikia mwenye style yake atakucheka sanaππ kwahio ukawa una rap kama rapchaNimetembea dog style njia nzima naongea Kingereza
Thanks brother[emoji173]Kama umepita kwa lulenge , bila shaka umeshapendeza Naomba u drive vizuri kwa umakini [emoji3]
Pascal Mayalla ana exposure kubwa, na ana tabia njema, hawezi fanya hivyo. Huyu yeye anapiga zake Yohana Mtembezi kwa raha zake, kistaarabu na kiungwana kabisa.Huyo atakuwa Pasco mzee wa sounds of within
Kama sio huyo basi ni mwamba ErythrocyteHuyo atakuwa Pasco mzee wa sounds of within
Nimecheka sana aiseeWewe ulivyoona Kuna minyama na pombe hata zawadi uliisahau huko huko.
Ili?Nifuste inbox nitakujari
Wee baba wee, huachi tu vituko. Kutembea dog style ndio kupi huko?Asante timu nzima ya JamiiForums. Asante Maxence Melo, zawadi hakika ni maridadi kweli kweli, wengine wamerudi nyumbani wakitembea dog style. Very superb.
Mshana Jr, naomba upitie huu uzi
AiseeMaxence Melo tunaoma uamue hii kesi aisee
Kumbe ndio mlichoitiwa?
[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]Kumbe ndio mlichoitiwa?
Dah [emoji23]Atakuwa Mshana Jr na GENTAMYCINE [emoji28][emoji28]
Popoma mwenyeweTukiwaambia muache kuolewa na mapopoma hamuelewi
Wewe ni popoma ovaππ