Mume wangu alishinda tuzo ya JF, karudi nyumbani na tuchips hatufiki hata kumi, na kamshikaki kamoja

Afadhali wewe umeambulia mshikak na tuchips na anaweza kuwa katupitia njiani ili usichukie sana, mwingine kaingia na chupa ndogo ya maji na ipo nusu [emoji22][emoji22][emoji22]
 
Kwann umependa kutumia jina lakike na hiyo picha hii tabia mbaya sana
 
Acha upumbavu na tamaa za kutamani vya watu.
 
Hapo kwenye kuhesabia chips Sasa!!, Kweli Maisha magumu [emoji1787][emoji1787]
 
Afadhali wewe umeambulia mshikak na tuchips na anaweza kuwa katupitia njiani ili usichukie sana, mwingine kaingia na chupa ndogo ya maji na ipo nusu [emoji22][emoji22][emoji22]
Wanawake tunakutana na magumu sana aisee, Mungu atufanyie wepesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…