Mume wangu ananipa Kila kitu kasoro kitu kimoja tu. Nishaurini nataka kuvunja hii ndoa


Nyie mapunga ni watu wa ajabu sana. Siku hizi mnaoelewa na mnataka tuwashauri? Hilo jina mtu anaweza dhania ni mwanaume wa maana kumbe mchekea.
 
Utoto umezidi. Ndo uwezo wako wa kifikiri umeishia hapo?
 
George aloyce sikuhizi umeolewa unaliwa kiboga?
 
Mume wako alioa kahaba. Uhuru unaoutaka ni wa kwenda kufanya ukahaba na kudanga. Mimi ninamshauri mumeo akupe talaka ili mwanamke anayejielewa apate nafasi. Kung'ang'ania kahaba itamletea shida.
 
Achana naye huyo usijicheleweshe.
 
Unataka achukue uhamisho ni ngumu sana walau vumilieni hata miaka miwili ndipo mchukue uhamisho
 
Kama we ni Mwanamke kweli basi umezoea gegedo na umekubuhu yaani unakutu la bati.Wanaume tuna kazi.
 
Kwa Sababu vijiji vya songea navijua...We haupo songea sema upo tunduru ama namtumbo,ama Nyasa...Na Kwa sababu Nina connection na watendaji Kata zoote za mkoa WA Ruvuma namtafuta Mumeo then atausoma huu ujumbe... Pumbavu kabisaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] songea vijijini aseme ni kijiji kipii?
 
Hujui tu kinachokusumbua ni umri. Tuanzie Kwanza na hili.
1. Kitu gani unakikosa hapo? Japo ni kijijini lakini unakosa nini mahitaji yako muhimu?
2. Unakotaka mjini ni kitu gani hasa unakifuata?.

Unajiangamiza kwa kukosa maarifa. Utakuja kujuta umri wako ukisonga.

Ushauri kwako acha kumsumbua mumeo. Labda muombe akufungulie hata kiduka hapo mtaani upotezee muda. Vinginevyo achana mawazo ya kuvunja ndoa au kutaka mjini
 
We hujui hata maana ya ndoa. Jinga kabisa
 
Kuna haja tupeleke ombi maalumu Kwa Melo kwamba wachangiaji wenye jinsia mbili mbili wapigwe marufuku humu

Yaani leo ana jinsia ya kiume, kesho kutwa anakuja na jinsia ya kike

Ni kutuchanganya wasomaji sasa [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…