Mume wangu ananipa Kila kitu kasoro kitu kimoja tu. Nishaurini nataka kuvunja hii ndoa

usijaribu huo ujinga kabisa,naomba unifunze kwa jakaya kikwete,mke wa kwanza mama ridhwani,alimuacha jk kwakuwa alihamishiwa masasi,akadai hivyohivyo unavyodainwewe jk akampa talaka akapata mwalimu salma,sasa baadae jk kawa rais wa nchi,acha huo upumbavu,ongea na mumeo vizuri upate cha kufanya huko kijijini
 
Matako wewe endelea utajuta nakuambia.
 
1. Ww ni utoto unakusumbua nasikitika akili yako bado changa ingawa una umri mkubwa

2. Kwa jinsi ulivyoandika in detail as if huyo jamaa hajui kitu kinaitwa jf kama jamaa yupo humu jf sijui itakuwaje
 
Hili ndio Tatizo la kuoa mwanamke mdangaji
 
watoto wa 2000 ni shida sana
tafuta shamba lima
 
Wanawake siku mkijua mnataka nini ndio itakuwa mwisho wa dunia.
 
Si bure umerogwa
 
Kama ni ndoa ya Kikristo kumbuka kile kiapo! Katika shida,katika mabonde,katika dhiki,magonjwa tutakuwa pamoja!
Msikilize Mmeo anasemaje!
 
Hii mambo mnanyofoa story za watu insta afu mnaleta huku muwage mnasema, ona sasa mwanaume unaonekana kama mwanamke.
 
Hivi kumbe kuna mabinti wa kiume wenye majina ya kiume kabisa. BTW acha umalaya ewe dada
 
George Aloyce ni lini serikali iliruhusu mwanaume kuwa na mume wake?
Bro unajiona unajua ila wewe na wote walio like nasikitika kuwaambia akili zenu zipo mbali sana nyie ndio wale wanafunzi kuelewa hadi fimbo nyingi sana .

Huyo jamaa atakua na page ambayo wanawake wapo huru kutoa ya moyoni na yeye ni mwanaume ila anakopi kule na kuwaletea huku.

Mbona jamaa anacheza kete rahisi hivi....?kwa nini wazito hivyo kuusoma mchezo
 
Ujinga umepata mjinga
 
Mwanamke mpumbavu sana wewe, unataka kwenda mjini kufanya nini? Unataka nyumba ziwe karibu ili iweje?
Shida sana kuoa vodada vya chuo hata maisha havijui.
 
Sijui nawaza ujinga maana nilivyosoma heading nikajua mume wake hapigi paipu vzur... Wazee wa peleka moto huwa tunawaza ujinga ujinga tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…