Mume wangu anatembea na house girl wa jirani

Na wewe tafuta houseboy wa jirani yako utembee naye ili ngoma iwe droo!
 
uwwwwwiiiiii kyeruuuuu nimechekaje
 
Haya mamuv yenu ya MMU huwa yanavutia...siku hizi badala ya kuwaangalia Orijino Komedi, huwa nakuja hapa one time nipate vimbwanga viwili vitatu...

mwana wane.....ndo maana nikamuuliza hg wa ndani kashapitiwa au bado..........loh hiki kipaji chako na watu8 kutofautisha red card na yellow card ni hatareeee
 
Last edited by a moderator:
Haya mamuv yenu ya MMU huwa yanavutia...siku hizi badala ya kuwaangalia Orijino Komedi, huwa nakuja hapa one time nipate vimbwanga viwili vitatu...

hahahaha naona siku hizi unaingia mida hii
 
hahahaha naona siku hizi unaingia mida hii

Huwa nina kama saa moja tu ya kuperuzi hapa kabla ya kuangusha....ndio maana waniona mida hii ya kukabidhiana lindo.
Usiku mwema...
 
Huwa nina kama saa moja tu ya kuperuzi hapa kabla ya kuangusha....ndio maana waniona mida hii ya kukabidhiana lindo.
Usiku mwema...

Malaika wa Bwana wakulinde.
 
Jamani mwenzenu mume wangu ananiambia nina husuda, hii ni nini? Kisa tu nimegundua anatembea na house girl wa jirani

Tatizo na nyie mmezoea kuwaachia kazi za ndani hata mpaka kuwaudumia waume zenu hali inayopelekea kuwatengenezea wanaume kuhamasika, wewe ni boss sawa ila weka mipaka ya housegirl kumhudumia mumeo kwa mslahi ya ndoa yako maanausipoilinda nani wa kukulindia?
 
Kisa tu nimegundua anatembea na house girl wa jirani
Acha unyanyapaa.
Sema mumeo anatembea na mwanamke mwingine.
Kwani huyo mwanamke angekuwa banker, lawyer, doctor, .....ungepostije?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…